KIKWETE hawaamini WASAIDIZI wake? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

KIKWETE hawaamini WASAIDIZI wake?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by VUTA-NKUVUTE, May 11, 2012.

 1. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #1
  May 11, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,868
  Likes Received: 6,566
  Trophy Points: 280
  Kila inapotokea safari inayomhitaji kiongozi wa juu wa nchi,karibu mara zote,Rais Jakaya Kikwete amekuwa akihudhuria mwenyewe.Anasafiri mara kwa mara.Anaonekana mtembezi.

  Kikatiba,Rais husaidiwa na Mkamu wa Rais,Waziri Mkuu na kwa Mambo ya Nje kama hayo-Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.Hao wote wapo.Kwanini safari nyingine za uwakilishi wasiende hao wengine,wasaidizi muhimu kabisa kwake? Kwanini zote aende yeye? Tujadili kumsaidia Rais wetu....
   
Loading...