Saed Kubenea yuko wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Saed Kubenea yuko wapi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by S.Liondo, May 10, 2012.

 1. S.Liondo

  S.Liondo JF-Expert Member

  #1
  May 10, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 2,143
  Likes Received: 660
  Trophy Points: 280
  Mwenye taarifa kuhusu alipo Saed Kubenea ambaye amekuwa mwandishi wa gazeti la Mwanahalisi kwa muda mrefu tafadhali anijulishe. Mimi ni mpenzi sana wa articles zake za kisiasa katika Gazeti hilo. Kama anafanya na gazeti lingine tafadhali naombe Kujuzwa ili nifuatilie habari anazoziandika.
   
 2. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #2
  May 10, 2012
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Nilimekuwa nikiona kwenye Mwanahalisi jamaa akiandika makala kadhaa kutokea Udachini.... Nadhani atakuwa huko kuongeza maarifa zaidi...
   
 3. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #3
  May 10, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,173
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  ashapewa faida ya gazeti ya miaka 25. sasa hivi gazeti linaandikwa na wenyewe under license
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  May 10, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 21,990
  Trophy Points: 280
  Wataalam wa kulisha wenzao sumu wamemtisha
   
 5. t

  thatha JF-Expert Member

  #5
  May 10, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  saed kubenea yuko uholanzi akinoa bongo katika chuo kimoja nchini humo. Anachukua diploma ya mass communication and international communication.
   
 6. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #6
  May 10, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  yuko mtoni anachimbuka, nadhani WDC, jirani na le mutuz
   
 7. Bitende

  Bitende Member

  #7
  May 10, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nikweli yuko udachini anasoma
   
 8. hasan124

  hasan124 JF-Expert Member

  #8
  May 10, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hakika na anataraji kurudi nchini mwezi WA Saba, though alipita Uingereza kucheki macho yake kwani ile tindikali ilimuafekti KIASI na waindi wamekua mstari WA mbele kumpiga dozi za gharama so ni Kama anatafuta option nyingine kumaliza tatizo lake hili. Mwanajeshi Yule.
   
 9. K

  Kassim Awadh JF-Expert Member

  #9
  May 10, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 887
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Wa jeshi gani?
   
 10. I

  IDIOS Member

  #10
  May 10, 2012
  Joined: May 3, 2012
  Messages: 84
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Jamaa ni jembe la kufa mtu,
  hakika yeye ndo alianzisha
  mkiki mkiki ya kuikosoa
  serikali kwa macho makavu
  kabsa bila woga wowote.
  Hata pale alipoanza
  kuwekewa mkikakati na
  vikwazo vya kuweza
  kufanikisha ,matakwa
  yao watawala jamaaa
  aliendelea kukaza uzi.

  Wakamtishia hadi
  maisha bt jamaa
  alisimama imara
  huku akiendelea
  kuuweka wazi
  uozo wa serika;li
  yetu iliyojaa udhalim
  kwa kutosha.
  Hakika Saed Kubenea
  nitamkumbuka sn kwa
  mazuri aliyotufanyia kwa
  kututoa tongotongo
  machoni mwetu.

  Maliza masomo yako
  vyema baba na pona
  macho yako kisawasawa.

  Mungu bariki Taifa letu, Mungu mbarikiKubenea.
   
 11. wagaba

  wagaba JF-Expert Member

  #11
  May 10, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 829
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  jamaa jembe. namisi sana front page ya MH
  mafisadi na wabaya wake wapo ktk recess. Ngoja arudi na ugwadu
   
 12. A

  Annareal Member

  #12
  May 10, 2012
  Joined: May 9, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kubenea ni mkombozi
   
 13. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #13
  May 10, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,010
  Likes Received: 1,814
  Trophy Points: 280
  Mkuu kisima jongoo kama sasa anachukua diploma ya Mass Communication, huko nyuma alikuwa na cheti gani? Au ndio ile habari niliyowahi kuisikia kuwa jamaa elimu iko chini anatumia talanta tu katika uandishi?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. hasan124

  hasan124 JF-Expert Member

  #14
  May 10, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  La wanamaji.
  sikia Kassim Awadh, huyu jamaa ni mmoja kati ya chachu Kubwa katika kuanika Uozo uliokithiri katika Nchi hii......kwani unadhani hadi anamwagiwa tindikali ilikuwa ni Bahati mbaya? Aliingia kwenye 18 za vigogo wachafu WA Nchi hii, thank god alipona na still hakuacha kufichua MADHAMBI Yao. Vp kuna la ziada hapo?
   
 15. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #15
  May 10, 2012
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Said Kubenea yupo bahati mbaya gazeti la Mwanahalisi linakufa kifo cha kawaida imefika wkt linauzwa kwa kilo maeneo ya Kariako/Msimbazi na Uhuru.
   
 16. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #16
  May 10, 2012
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kaka yangu Kimbunga Tanzania hakuna waandishi wa habari wengi wao ni makanjanja wa mjini tu. Wewe angalia magazeti yetu na aina ya waandishi Tanzania kila muandishi ana malengo ya kuwa kiongozi wa chama.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #17
  May 10, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,010
  Likes Received: 1,814
  Trophy Points: 280
  Mchuzi wa bata bwana yaani Mwanahalisi limefikia hali hiyo kweli?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. Majita

  Majita JF-Expert Member

  #18
  May 10, 2012
  Joined: Jan 13, 2008
  Messages: 606
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45

  Haiwezi na haitatokea labda baadae sanaaaaaa
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #19
  May 10, 2012
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kaka yangu Kimbunga kama unakumbuka vizuri miaka miwili ya nyuma na kipindi cha kampeni za uchaguzi siku ya Jumatano ikifika saa tano asubuhi ulipati gazeti la Mwanahalisi leo siku ya Alhamisi pita kwenye vibanda vya magazeti uone mzigo ulivyojaa.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. Mnama

  Mnama JF-Expert Member

  #20
  May 10, 2012
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 1,646
  Likes Received: 356
  Trophy Points: 180
  Acheni Jembe linolewe.
   
Loading...