Ni halali DC kuhama na michango ya wananchi?

M4C ARUSHA

Member
Apr 27, 2012
38
4
ALIYEKUWA MKUU WA WILAYA YA HAI DR Norman Siggala (maarufu kama shemeji kama waandishi wa habari moshi wanavyiomuita) mwaka jana alichangisha fedha kwa wafanyabiashara jijini dar es salama 480ml kwa lengo la kujenga shule kidato cha tano na sita sasa ameondoka nazo?
 
Back
Top Bottom