Leo mwenge unawashwa mbeya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Leo mwenge unawashwa mbeya

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Amina Thomas, May 11, 2012.

 1. Amina Thomas

  Amina Thomas JF-Expert Member

  #1
  May 11, 2012
  Joined: Mar 9, 2008
  Messages: 272
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Nimeona sherehe za kuwashwa mwenge kupitia tbc. Kwa kweli inauma sana kila siku hafla zisizo na maana zikitumia pesa kibao. Hivi kuna ulazima gani wa kuwasha mwenge kila mwaka? Nini faida ya mwenge kwa nchi hii? Nchi ngapi afrika wanakimbiza mwenge kila mwaka? Sikatai kua lilikia wazo zuri enzi hizo. Ila kwa sasa ni kama kumbu kumbu tu ambayo ingeweza kufanywa hata kila baada uya miaka 5. Pesa nyingi zinatumika bila ulazima. Nilichoona pale ni halaiki kama kawaida. Hapo watoto lazima watakua wamekosa masomo kwa siku kadhaa ili wafanye mazoezi. Kwa namna hii umaskini utapungua?
   
Loading...