Kauli za Nassary vs Magufuli mkichagua wapinzani hatutaleta maendeleo majimboni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kauli za Nassary vs Magufuli mkichagua wapinzani hatutaleta maendeleo majimboni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Precise Pangolin, May 11, 2012.

 1. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #1
  May 11, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,202
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Polisi wakishamalizana na Nassari. wawahoji na akina Magufuli kwa kauli zamkichagua upinzani serikali haitaleta huduma jimboni. Najua PM alisema it was just "unfortunate" na yakaisha, hawajahojiwa na polisi na wala hawajaomba radhi. kauli hizi ni za kiuhaini tu kama za Nassari, lakini polisi wetu wana makengeza ajabu.​


   
 2. by default

  by default JF-Expert Member

  #2
  May 11, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Sisi ni watanzania bara na wao tanzania visiwani.ukileta mambo ya tanganyika watatokea wazanzbar watakao sema mimi mpemba na mimi wa unguja.
   
 3. Maishamapya

  Maishamapya JF-Expert Member

  #3
  May 11, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,280
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Atakapoulizwa Pinda kuhusu hilo na la kina Malima atajibu tema: It is just unfortunate that it has to be that way kwa wapinzani. Waiache serikali itimize wajibu wake kwa wananchi badala ya kuleta vurugu na kutoa kauli zinazoashiria kuvuruga amani.

  Kwa kifupi, kauli za wana-CCM na matendo yao ikiwa ni pamoja na kuwa na silaha hadharani, 'kufurahia' wapinzani wanapouawa au kupigwa kama wezi, matusi ya nguoni, ..., hivyo havivurugi amani.

  Yana mwisho!
   
 4. K

  KISAKA MORIS JF-Expert Member

  #4
  May 11, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 372
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kweli Magufuli namwamini sana kiutendaji lakini kwa hili namtafakari upya.
   
 5. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #5
  May 11, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,567
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  Wapige mbizi!
   
 6. A

  Amwesiga Senior Member

  #6
  May 11, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 150
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Me nafikiri wana-cdm haya kwetu sio mageni, kimsingi mtamkaji ndio anaeweza fafanua juu ya alichokitamka sisi hatutakiwi kuusemea moyo, Mh; Dogo mwenyewe kashatoa ufafanuzi ya kilichojil sasa huu mjadala tafadhal naomba tusiundeleze, Nassari tunamdiscourage kisakologia.
   
 7. Havizya

  Havizya JF-Expert Member

  #7
  May 11, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 1,573
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Ccm wamepumbazwa na kukosa maarifa!
   
Loading...