Kauli hii ya Balozi Sefue imenifanya nibadili mtazamo... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kauli hii ya Balozi Sefue imenifanya nibadili mtazamo...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by cabhatica, May 11, 2012.

 1. cabhatica

  cabhatica JF-Expert Member

  #1
  May 11, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 1,074
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Nukuu kutoka gazeti la Mwananchi la Mei 11, 2012 "Asifia uwazi Balozi Sefue alisema sio kweli kuwa hivi sasa vitendo vya ubadhirifu wa mali za umma vimeongezeka bali hali hiyo inaonekana zaidi kwa sasa kwa kuwa Serikali imekuwa ikifanya mambo yake kwa uwazi mkubwa. “Hivi sasa ripoti mbalimbali zinawekwa wazi bungeni na wabunge wanachangia, ripoti haziwekwi tena kabatini na hiyo ndio sababu, sio kweli kuwa matukio ya ubadhirifu yameongezeka kwa sasa,” alifafanua Balozi Sefue.

  Tafsiri yangu:

  Hawa mawaziri waliowajibishwa(?) watakuwa wameonewa (scape goat) kwa sababu hawako peke yao. Kwa maana nyingine TAKUKURU na DCI hawatakiwi tu kuchunguza tuhuma katika ripoti za CAG zilizojadiliwa bungeni bali pia hizo zilizoko kwenye makabati. Kwa maana nyingine the net should be spread wider and date back to the Mzee ruksa's regime.

  Kwa maana nyingine vita ya kuondoa ufisadi is much bigger and deeply rooted than I thought while the warriors in the forefront are few. If we dont join the fighters there is no way they are going to win the war...or at least not in the near future.

  I had never thought of venturing into politics but now I have changed my mind....nitaingia huko...nitapigana kwa vile sasa ninajua nitakachokuwa ninakipigania...uhuru wa kweli wa mtanzania ili afaidi matunda ya uhuru wa utu na raslimali za nchi yake....kwenye vita kuna vifo, majeruhi n.k...lakini ushindi ni lazima kwa anayetetea haki ya wengi....dah INAUMA SANA!
   
 2. Kikarara78

  Kikarara78 JF-Expert Member

  #2
  May 11, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 1,164
  Likes Received: 514
  Trophy Points: 280
  Cabhatica na Wana JF,
  Kamnda kwani haujui maana ya neno SIASA ?? Kama haujui au umesahau ngojea nikukumbushe maana yake ni SI - ASA, sio kweli, Kamanda wa kweli tutamtambua kwa matendo.
  Nawakilisha
   
 3. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #3
  May 11, 2012
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,504
  Likes Received: 2,744
  Trophy Points: 280
  Good thinking Bro!! Gofor it. I used to have same mentality but my mind have slowly changed after witnessing a circle of few thieves who want us to believe that they are politicians while are busy squandering our resources. I think I only need six monthsin the village in order to brush up my Sukuma before launching my war against these burgers!!!
   
 4. k

  kayumba JF-Expert Member

  #4
  May 11, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 654
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Hivi kweli KMK anadhani watanzania hatujui kuwa ubadhirifu wa mali ya umma upo siku nyingi. Tunajua na tunapinga, na hii ripoti inazungumzia tone tu ya ufujaji wa mali ya umma. Labda kwasababu alikuwa ughaibuni ndo maana anadhani kwetu haya ni mageni.

  ufisadi hapa nchini upo siku nyingi na serikali siku zote imefumbia macho mafisadi. Ebu jiulize, mbona ufisadi kama Tangold, Meremeta, Kiwira you name it! huo hauzungumziwi na wahusika kufilisiwa na kufungwa?

  Kiongozi wa kupambana na ufisadi akiingia ofisini tutamjua na wala haitaji kwenda kwenye vyombo vya habari kutuambia bali tutaona matendo yake.
   
 5. F

  FJM JF-Expert Member

  #5
  May 11, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Kwa hiyo Balozi Sefue anawaambia watanzania kuwa siku zote kumekuwepo na wiziri serikalini na wao viongozi walikuwa wanajua lakini wakaa kimya? Ni sheria gani inayowaruhusu viongozi wa serikali ya CCM kunyamazia wizi wa mali za umma? Na kwa nini wawatose mawaziri 6 tu na kuwaacha hao wengine waliokuwa wanaiba huko nyuma?
   
 6. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #6
  May 11, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Hana tofauti na Luhanjo. "Kanzu mpya shehe wa zamani"
   
 7. fredmlay

  fredmlay JF-Expert Member

  #7
  May 11, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,855
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Kwakifupi serikali imekiri udhaifu kupitia katibu mkuu kiongozi kwamba ubadhirifu ni tabia ya viongozi na kunyamaza bila kuchukua hatua ni utaratibu wa watawala wetu.
   
Loading...