Nape ni nani mbaguzi hapa?

Ringo Edmund

JF-Expert Member
May 10, 2010
4,879
1,125
NAPE NNAUYE KATIBU MWENEZI WA CHAMA CHA MAPINDUZI NAOMBA UNIFAFANULIE PAMOJA NA WATANZANIA WENZETU HUHUSU HUU UTATA WA MISIMAMO YAKO.
TOKA JUZI UPO KWENYE VYOMBO VYA HABARI UKITOA UFAFANUZI KUHUSU MANENO ALIYOYATAMKA MBUNGE WA ARUMERU NDG JOSHUA NASARI NA KUUITA NDIO MSIMAMO WA CHADEMA KWA HIYO CHADEMA NI WABAGUZI,SASA NAOMBA TUANGALIE HIZI KAULI MBILI TU HALAFU TUJE NA JIBU LA JUMLA KWA WATANZANIA.
NA KWENYE JIBU UTAKALOTOA HAPA WATANZANIA WATAKUHUKUMU NALO.

A.WAKATI AKIWA KWENYE KAMPENI MERY NAGU AMBAYE NI WAZIRI MWENYE DHAMANA KATIKA SERIKALI AKIHUTUBIA KWENYE MKUTANO WA KAMPENI KULE ARUMERU ALIWAAMBIA WANA ARUMERU WAAMUE KUICHAGUA CHADEMA JIMBO LIENDE LIKIZO AU WAICHAGUE CCM WAPATE MAENDELEO.
KUMBUKA NAGU HAKUYASEMA HAYA KWA BAHATI MBAYA NA HAJAWAHI MAHALA POPOTE KUOMBA RADHI,HUYU NI MTU WAJIKONI KWENYE SERIKALI NA CHAMA,ANAYAJUA YALIYOPANGWA NA CHAMA NA SERIKALI.
SASA KWA KAULI YAKE AMBAYO HAJAIPINGA NI KUWA MAJIMBO YOTE YALIYO CHINI YA CHADEMA YAPO LIKIZO.

B.TAFUTA KAULI ZA WASIRA NA OLE MEDEYE NA LUSINDE NA MKAPA.

C.CHUKUA NA KAULI YA JOSHUA NASARI AMBAYE ALISIKIA KAULI ZA MAKADA WA CCM NA KUJA NA MAJIBU HAYO.

MAONI YANGU;
MAMA AKISEMA AKIWABAGUA WATOTO WAKE KWA MAMBO YALIYOKUBALIKA KIFAMILIA NA MTOTO ALIYEUNGANISHA WALE WENZAKE WALIOBAGULIWA NI NANI ATAKAYEKUWA KATENDA KOSA HAPO.
KUMBUKA AKIULIZWA SWALI BUNGENI WAZIRI MKUU ALIMTETEA NAGU NA WASIRA AKIZIITA KAULI ZILE KUWA NI ZA KWENYE KAMPENI TU.
MBOWE BILA KUULIZWA NA MTU YEYOTE PALEPALE JUKWAANI ALISEMA ULE HAUKUWA MSIMAMO WA CHADEMA,SASA BWANA NAPE UNATAKA KUTUAMBIA NINI KWENYE HILI?
AU TUKIULIZA KWA NINI HATUJASIKIA MERY NAGU AMEHOJIWA NA POLISI KWA UHAINI WA KUIGAWA NCHI?
KWA NINI AHOJIWE NASARI KWA KUPIGIA MSTARI JIBU LA MAWAZIRI NA RAIS MSTAAFU?
KWA NINI HAJAHOJIWA LUSINDE KWA MANENO YA UCHOCHEZI DHIDI YA VIONGOZI WALIOPO KIKATIBA?

naomba majibu utakayotoa hapa yawe ndio msimamo wa ccm ili watanzania tujue.

nakutakia kazi njema.

 
Nape JF anapaogopa kuliko jehanamu!! Amehamia FB maana uwezo wa kukabili hili jukwaa kwa hoja hana ubavu!! Sana sana utajibiwa na vibaraka wake, ngoja waje......!!
 
kusoma na jua ataisoma ila kujibu anaweza asiijibu lakini kukaa kimya nalo nijibu.

waswahili wanasema kimya ni jibu la mjinga,
 
big up uliotoa thread kiukwl nasari akulupuka nape asizan kuwa kuna baadhi ya wa2 wake na wamenena kama nasari. Kifup dogo janja kacheza tit for tat is a fair game
 
nape aliwahi kutoa kauli na akanukuliwa akisema hawezi kufanya kazi na kushirikiana na wachaga .... very very insane
 
Unadhani vuvuzela la sisiem litaongea ni zaidi ya propaganda na siasa zilizoshindwa?
 
Acheni kupoteza muda wenu adhimu kumjadili mchumiatumbo nape.
Anafikiri ataiokoa ccm kwa kueneza propaganda dhidi ya chadema.
Kwa taarifa yake wakati anatapatapa wiki ijayo ninapokea wanaccm ishirini na tano wakiwemo wajumbe wanne wanavua magamba na kuvaa magwanda.
 
Ritz muamshe Rejao na wenzenu wengine mje kujibu mashtaka huku. Ole wenu mje na U-Lusinde maana inavyoonekana wanaume wamejiandaa kuwabangua makofi.

Nionavyo mimi, kesi ya Nassari mahakamani ingeambatana na ile ya mineno michafu aliyomwaga Lusinde jukwaani kule Arumeru
 
Anachowaza nape' ni kujichubua ndio maana mdomo wake unakuwa wa brue,vuvuzela la ccm yenyewe ndio mabaguzi na sio nassari aliyesema kweli.
 
[FONT=arial
black]NAPE NNAUYE KATIBU MWENEZI WA CHAMA CHA MAPINDUZI NAOMBA
UNIFAFANULIE PAMOJA NA WATANZANIA WENZETU HUHUSU HUU UTATA WA MISIMAMO
YAKO.
TOKA JUZI UPO KWENYE VYOMBO VYA HABARI UKITOA UFAFANUZI KUHUSU MANENO
ALIYOYATAMKA MBUNGE WA ARUMERU NDG JOSHUA NASARI NA KUUITA NDIO MSIMAMO
WA CHADEMA KWA HIYO CHADEMA NI WABAGUZI,SASA NAOMBA TUANGALIE HIZI KAULI
MBILI TU HALAFU TUJE NA JIBU LA JUMLA KWA WATANZANIA.
NA KWENYE JIBU UTAKALOTOA HAPA WATANZANIA WATAKUHUKUMU NALO.

A.WAKATI AKIWA KWENYE KAMPENI MERY NAGU AMBAYE NI WAZIRI MWENYE DHAMANA
KATIKA SERIKALI AKIHUTUBIA KWENYE MKUTANO WA KAMPENI KULE ARUMERU
ALIWAAMBIA WANA ARUMERU WAAMUE KUICHAGUA CHADEMA JIMBO LIENDE LIKIZO AU
WAICHAGUE CCM WAPATE MAENDELEO.
KUMBUKA NAGU HAKUYASEMA HAYA KWA BAHATI MBAYA NA HAJAWAHI MAHALA POPOTE
KUOMBA RADHI,HUYU NI MTU WAJIKONI KWENYE SERIKALI NA CHAMA,ANAYAJUA
YALIYOPANGWA NA CHAMA NA SERIKALI.
SASA KWA KAULI YAKE AMBAYO HAJAIPINGA NI KUWA MAJIMBO YOTE YALIYO CHINI
YA CHADEMA YAPO LIKIZO.

B.TAFUTA KAULI ZA WASIRA NA OLE MEDEYE NA LUSINDE NA MKAPA.

C.CHUKUA NA KAULI YA JOSHUA NASARI AMBAYE ALISIKIA KAULI ZA MAKADA WA
CCM NA KUJA NA MAJIBU HAYO.

MAONI YANGU;
MAMA AKISEMA AKIWABAGUA WATOTO WAKE KWA MAMBO YALIYOKUBALIKA KIFAMILIA
NA MTOTO ALIYEUNGANISHA WALE WENZAKE WALIOBAGULIWA NI NANI ATAKAYEKUWA
KATENDA KOSA HAPO.
KUMBUKA AKIULIZWA SWALI BUNGENI WAZIRI MKUU ALIMTETEA NAGU NA WASIRA
AKIZIITA KAULI ZILE KUWA NI ZA KWENYE KAMPENI TU.
MBOWE BILA KUULIZWA NA MTU YEYOTE PALEPALE JUKWAANI ALISEMA ULE HAUKUWA
MSIMAMO WA CHADEMA,SASA BWANA NAPE UNATAKA KUTUAMBIA NINI KWENYE HILI?
AU TUKIULIZA KWA NINI HATUJASIKIA MERY NAGU AMEHOJIWA NA POLISI KWA
UHAINI WA KUIGAWA NCHI?
KWA NINI AHOJIWE NASARI KWA KUPIGIA MSTARI JIBU LA MAWAZIRI NA RAIS
MSTAAFU?
KWA NINI HAJAHOJIWA LUSINDE KWA MANENO YA UCHOCHEZI DHIDI YA VIONGOZI
WALIOPO KIKATIBA?

naomba majibu utakayotoa hapa yawe ndio msimamo wa ccm ili watanzania
tujue.

nakutakia kazi njema.

[/FONT]

kwani alichokosea nape kipi kweli ukipenda unaona chongo
 
Nape ni mic ya ccm nashangaa kwanini mnajadili mic hata yeye naamini huwa hakubaliani na yanayo fanyika lakin atafanyaje alishageuzwa kuwa kisemeo cha magamba
 
Mimi nashangaa sana wanaofanya ubaguzi au wanauwa watu au wanaofanya Uwizi hawachunguzwi wala kuchukuliwa hatua yeyote lakini akitokea Mtu kutoka Upinzani akakosea tu kidogo kwa Matamshi atasumbuliwa mpaka basi..

Mfano: 1. Watu wameiba Trillions of money za walipa kodi tuko nao mtaani wanajivinjari na MaVX V8 za serikali.
2. Watu wameingia mikataba ya Madini na Nchi inapoteza Matrilions kila kukicha bado tumewakumbatia wezi.
 
Nape anafikiri anaijenga ccm kwa kueneza fitina chadema mbona capteni john komba alishawahi sema kama serikali ya ccm imeshindwa kuwahudumia watu wa mbamba bay ni bora wakajiunga na malawi nchi jirani kwa sababu huduma zote za msingi wanazipata huko,tatizo la nape ni kiazi!!!!!!!!!!!!!!
 
Nape anachezea bomu ambalo waliomtangulia wamelitega......yeye ni vuvuzela tu hana lolote/.......sijawahi kuona kijana mnafiki km nape...yeye mwenyewe anajua ccm ni chama cha kihuni na aliamua kuondoka kwenda kuanzisha ccj alafu akaona atakufa njaa akona ngoja arudi amalizie pesa za kifisadi za ccm....sasa namuuliza nape hizo pesa za ccm zikiisha utaenda wapi?......
 
Baada ya kampeni za arumeru nilisikia akina kibamba na wanaharakati wengine wakidai wataenda kufungua kesi dhidi ya wabunge wa ccm waliotukana kwenye majukwaa,amabapo hiyo ni kazi ya jeshi la polisi.sasa nimuulize nape polisi wapo kwa ajili ya kulinda usalama wa ccm?
 
Anachowaza nape' ni kujichubua ndio maana mdomo wake unakuwa wa brue,vuvuzela la ccm yenyewe ndio mabaguzi na sio nassari aliyesema kweli.
Alaaaaaa! kumbe ndo maana vipodozi vyenye viambata vya sumu vimezagaa madukani kumbe ni ruhusa ya serikali ya CCM ili wajichubue wang'ae
 
Back
Top Bottom