Kama unaichukia CHADEMA we ni mchawi, soma kauli mbiu hii mpya

Sitachoka

JF-Expert Member
Nov 17, 2011
3,030
1,303
hatimaye unabii unaelekea
kutimia. Lakini naipenda sana
operation ndogo nyingine ya
M4C
ambayo naweza kuiita mkono
wa
kushoto wa M4C. Hii ni
operesheni
ya kimya na kwa kweli naipenda
kwa kuwa iko effective kuliko
zote. Nayo ni “Toa gamba
moyoni,
valia gwanda moyoni”.
Hii kwa sasa imefikisha
mamilioni
ya Watanzania. Hawa ni wana
CCM
ambao wanaendelea kuvalia
magamba kwa nje lakini mioyoni
mwao wamevalia magwanda na
kila wakati wanaitika kimoyo
kimoyo “Peopleeeeeeeees!
Poweeeeeeeeeeer!
Katika kundi hili wamo
watumishi
wa umma. Hawa kwa miaka yote
wamekuwa hawana magamba
kwa nje lakini kwa ndani
wamevalia magamba hata kama
ni kwa kulazimishwa na
mazingira.
Ushauri wa bure kwa CCM ni
kwamba mafuriko hayajawahi
kuzuiwa na kitu chochote.
Acheni
kujisumbua. Naona kama
mmeanzisha M4K (Movement for
Killing), wameuawa watu wengi
sana
 
Hii nimeipenda, maana Tunabadili attitude (mitazamo) kwanza, kisha tutavalia MAGWANDA hadharani. Watafukuza upepo weeeeeeeeeeee mwishwe watasalimu amri
 
Na bado, ungeongezea na ile kauli ya "kaskazini tutajitenga tuwe nchi", nina hakika itashika chati sana.
.
"MADARAKA HUMBADILISHA MTU, YAPATE KWANZA NDIPO TUJUE TABIA YAKO".
 
hatimaye unabii unaelekea
kutimia. Lakini naipenda sana
operation ndogo nyingine ya
M4C
ambayo naweza kuiita mkono
wa
kushoto wa M4C. Hii ni
operesheni
ya kimya na kwa kweli naipenda
kwa kuwa iko effective kuliko
zote. Nayo ni “Toa gamba
moyoni,
valia gwanda moyoni”.
Hii kwa sasa imefikisha
mamilioni
ya Watanzania. Hawa ni wana
CCM
ambao wanaendelea kuvalia
magamba kwa nje lakini mioyoni
mwao wamevalia magwanda na
kila wakati wanaitika kimoyo
kimoyo “Peopleeeeeeeees!
Poweeeeeeeeeeer!
Katika kundi hili wamo
watumishi
wa umma. Hawa kwa miaka yote
wamekuwa hawana magamba
kwa nje lakini kwa ndani
wamevalia magamba hata kama
ni kwa kulazimishwa na
mazingira.
Ushauri wa bure kwa CCM ni
kwamba mafuriko hayajawahi
kuzuiwa na kitu chochote.
Acheni
kujisumbua. Naona kama
mmeanzisha M4K (Movement for
Killing), wameuawa watu wengi
sana

Mimi ni mtumishi wa umma na naipenda cdm live bila chenga.Hata ofisini nawaambia mimi ni cdm kabisa na wala sioni tatizo kujitanua hivo.Sijawahi kuipenda ccm hata kwa kuota ndoto tu.
 
hatimaye unabii unaelekea
kutimia. Lakini naipenda sana
operation ndogo nyingine ya
M4C
ambayo naweza kuiita mkono
wa
kushoto wa M4C. Hii ni
operesheni
ya kimya na kwa kweli naipenda
kwa kuwa iko effective kuliko
zote. Nayo ni “Toa gamba
moyoni,
valia gwanda moyoni”.
Hii kwa sasa imefikisha
mamilioni
ya Watanzania. Hawa ni wana
CCM
ambao wanaendelea kuvalia
magamba kwa nje lakini mioyoni
mwao wamevalia magwanda na
kila wakati wanaitika kimoyo
kimoyo “Peopleeeeeeeees!
Poweeeeeeeeeeer!
Katika kundi hili wamo
watumishi
wa umma. Hawa kwa miaka yote
wamekuwa hawana magamba
kwa nje lakini kwa ndani
wamevalia magamba hata kama
ni kwa kulazimishwa na
mazingira.
Ushauri wa bure kwa CCM ni
kwamba mafuriko hayajawahi
kuzuiwa na kitu chochote.
Acheni
kujisumbua. Naona kama
mmeanzisha M4K (Movement for
Killing), wameuawa watu wengi
sana

poa nassari..!
Rais mtarajiwa wa arusha
 
tuache ushabiki jaman hautasaidia,tuwahmize vijana wajiunge na chama pasi na kujiandikisha!!!!!!!
napita tu wazee
 
Mimi ni mtumishi wa umma na naipenda cdm live bila chenga.Hata ofisini nawaambia mimi ni cdm kabisa na wala sioni tatizo kujitanua hivo.Sijawahi kuipenda ccm hata kwa kuota ndoto tu.

yani wewe unalipwa na serikali ya ccm alafu unasema ni cdm..ngoja wakusikie
 
na bado, ungeongezea na ile kauli ya "kaskazini tutajitenga tuwe nchi", nina hakika itashika chati sana.
.
"madaraka humbadilisha mtu, yapate kwanza ndipo tujue tabia yako".

naona mmepata pa kutokea... Mwaka huu hampati lingine tena subirini mwakani akosee mwingine!!
 
yani wewe unalipwa na serikali ya ccm alafu unasema ni cdm..ngoja wakusikie
Wanaolipwa na ccm ni akina Nape, Mkama na wengineo watumishi wa serikali wanalipwa na wananchi kupitia kodi na rasilimali za nchi.

CCM inapata mapato yao kutoka kwa wanachama na vitega uchumi vyao kama viwanja na majumba. Ili kuwalipa watendaji wake kuanzia taifa hadi balozi wa nyumba kumi. Wala haiwajibiki kumlipa mtumishi wa serikali, Na watumishi hawajawai kuidai CCM mishahara.

Nikukumbushe kuwa watumishi wengi walijulikana kuwa wa vyama vingine vya siasa kama akina Kashinde, Sengondo Mvungi, Mwesiga Balegu na wengine wengi tu. FUNGUKA AKILI.
 
Iko wazi mkuu ukiangalia ushindi wa Rahis 2005 na wa 2010 majibu yako wazi.
Kudhihirisha zaidi sidhani kama kuna mwana gamba yeyote anayetamani kwenda kwenye uchaguzi kama utashirikisha wana gwanda!
 
hatimaye unabii unaelekea
kutimia. Lakini naipenda sana
operation ndogo nyingine ya
M4C
ambayo naweza kuiita mkono
wa
kushoto wa M4C. Hii ni
operesheni
ya kimya na kwa kweli naipenda
kwa kuwa iko effective kuliko
zote. Nayo ni “Toa gamba
moyoni,
valia gwanda moyoni”.
Hii kwa sasa imefikisha
mamilioni
ya Watanzania. Hawa ni wana
CCM
ambao wanaendelea kuvalia
magamba kwa nje lakini mioyoni
mwao wamevalia magwanda na
kila wakati wanaitika kimoyo
kimoyo “Peopleeeeeeeees!
Poweeeeeeeeeeer!
Katika kundi hili wamo
watumishi
wa umma. Hawa kwa miaka yote
wamekuwa hawana magamba
kwa nje lakini kwa ndani
wamevalia magamba hata kama
ni kwa kulazimishwa na
mazingira.
Ushauri wa bure kwa CCM ni
kwamba mafuriko hayajawahi
kuzuiwa na kitu chochote.
Acheni
kujisumbua. Naona kama
mmeanzisha M4K (Movement for
Killing), wameuawa watu wengi
sana

nimeipenda hiyo "mafuriko hayazuiliwi" teh teh!
 
Na bado, ungeongezea na ile kauli ya "kaskazini tutajitenga tuwe nchi", nina hakika itashika chati sana.
.
"MADARAKA HUMBADILISHA MTU, YAPATE KWANZA NDIPO TUJUE TABIA YAKO".

Funguka zaidi ndo tukuelewe!
 
poa nassari..!
Rais mtarajiwa wa arusha

Rais wa mbeya nae atakuwa nani? Tutafika sehem hii tutagawani zitokee kama nchi tano hivi kwani mambo yanaanza kama utani hivi na baadae mambo yanakuja kuwa makubwaaa!
 
CDM komaeni wakati ni huu wa kuchukua nchi ccm wanamalizia kipindi chao wale kona na wengine tutakutana hapa THE HAGUE wakijibu kesi zao bila kusahau kule kivukoni wakijibu kesi za kuhujumu uchumi.
 
poa nassari..!
Rais mtarajiwa wa arusha

Ingawaje umeiweka hii kama kejeli, hakika hii yaweza kutokea.
Check historia ya nchi mbali mbali. Angalia Sudan.
Waarabu wa Sudan walikuwa na kejeli kama wewe, na rais akatoa tamko kuwa wanataka kuifanya Sudan yote iwe ya waarabu (to 'arabise' the whole of Sudan !!) hapo ndio ulikuwa mwanzo wa uhuru wa sudan kusini.
Hii yaweza kutokea Tanzania.
Viongozi wa Tanzania wanachofanya ni ku-ifisadi Tanzania nzima (to corrupt the whole of Tanzania).
kama ulivyosema wewe mwenyewe, huo unaweza kuwa mwanzo wa taifa la Arusha.
{Be very careful with what you wish for, because you may end up getting it !!!}
 
Hata yule mbunge wa Musoma Sijui vijijini yule mwenye mipesa lukuki anaitwa sijui kiganja naona nae alitumia slogan kama ya Chadema nilisikia akisema .... mpaka kieleweke...
 
Back
Top Bottom