Mtu anajenga nyumba barabarani, ikibomolewa anakimbilia kwa Msigwa

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,827
4,172
mbunge wa iringa-mjini awaasa wananchi waache tabia ya kuvunja sheria za nchi makusudi kwa tumaini kwamba mbunge wao atawasaidia. my take: xafi xana mchungaji. kuvunja sheria za nchi siyo sera ya Tanzania tuitakayo, wala siyo sera ya CHADEMA. wana-iringa wenye tabia hiyo hata cuf hawatawakubali.
 
Back
Top Bottom