Jukwaa la Katiba: tume ya katiba inatoa vitisho vya kutoingiliwa

dosama

JF-Expert Member
Dec 25, 2010
912
957
Source Star Tv habari

Bwana Kibamba na wanaharakati wamenukuu baadhi ya kauli za viongozi wa nchi na wale wa katiba inaonyesha wanaweza kuandika mambo wanayoyataka wao na si wanannchi.

Kwa mfano;

Kikwete: hakuna kujadili muungano bali namna ya kuboresha muungano

Warioba: hatutaki kuingiliwa ktk shughuri zetu ktk mchakato wa katiba:

Shein: ni marufuku kuzungumzia mambo ya muungano na hakuna kura ya maoni.

Kombani: hakuna katiba mpya ila tunaboresha iliyopo.

Swali katiba inatengenezwa kwa ajiri ya nani?
 
Mimi nasema hivi Km Hitler aling'oka, Mobutu, Hosni Mubarak basi CCM ni vifaranga vidogo sana!! km hawataki katiba iwe ya wananchi basi tutaiandika kwa LAZIMA!
 
Back
Top Bottom