Ccm kimesahau kuwashugurikia mafisadi kinakuja kwa wananchi; ok!!!!. Ngoja tuandae vuvuzela!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ccm kimesahau kuwashugurikia mafisadi kinakuja kwa wananchi; ok!!!!. Ngoja tuandae vuvuzela!!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mlalila, May 11, 2012.

 1. M

  Mlalila Member

  #1
  May 11, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  IMENISIKITISHA SANA JANA KUONA VIONGOZ NDANI YA CCM WANATANGAZA KUANDAMANA KUPINGA KAULI YA NASARI AMBAYO mBOWE ALIIFUTA RIGHT THERE!!!!!!!.

  BAADA YA KUTAFAKARI SANA NIMEGUNDUA WANAMPANGO WA KUTUPOTOSHA BAADA YA AIBU YA SERIKALI YA CCM KUWA NA EXCELLENT KWA KUTAFUNA HELA ZETU NA WATANZANIA KOTE WANAJUA. KWA KUWA IMEKUWA AIBU MBAYA WANATAFUTA JAPO WAONEKAE NI WEMA KWA WANANCHI KUMBE WEZI WAKUBWA, FUKUZA KABISA, TUPA CHINI, FUKIA 2015 KWISHNEY!!!!!.

  TUNGEONA WANA AKILI KAMA WANGEUNGANA NA CDM KUTETEA MALI YA WATZ KWA MAANDAMANO NCHI NZIMA DHIDI YA MAFISADI. SASA NAONA WAMEKUMBATIA MAFISADI AMBAO LEO MIMI NINAKOSA UGALI JAPO NA DAGAA KISA CCM NA VIONGOZI WAKE.

  POPOTE WAKIANDAA MIKUTANO WAULIZENI: EP?. RICHMOND JE?. DOWANS?.ETC. NA WALIOKWAPUWA KIFUNGO CHAO NI MIAKA MINGAPI??????. WAKITOA JIBU WAPE MAJI WANYWE KWNDA ZAO.
   
 2. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #2
  May 11, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,655
  Likes Received: 3,307
  Trophy Points: 280
  Wataandamana kutoka wapi kwenda wapi mkuu? Magogoni hadi kivukoni au?
   
 3. M

  Mlalila Member

  #3
  May 11, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  kutokana na tamko la shigela la jana, eti nchi nzima!!!, yaani tz!!!!!. Ambayo wameiibia tangu bukoba mpaka namtumbo, kigoma mpaka tanga, kila mahali wamewaibia watanzania. Sasa kazi yetu ni moja, kuandaa vuvuzela
   
Loading...