Mawaziri wapya na azimio la arusha!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mawaziri wapya na azimio la arusha!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mchambakwao, May 11, 2012.

 1. m

  mchambakwao Member

  #1
  May 11, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 77
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wakuu Heshimu kwenu!
  Nimekaa na kutafakari sana kuhusu Azimio la Arusha,ingawa kulikuwa na baadhi ya vipengele ambavyo havikuwa sahihi kwa wakati tulio nao vingeondolewa ila vile vinavyohusu uongozi na utawala bora vingeachwa maana hapa tulipo sasa hali ni mbaya serikalini hasa kwenye masuala mazima ya ubadhirifu wa mali ya umma.
  Kwa ni nini hili Azimio la Arusha lisirudishwe,lina mapungufu gani kwenye Utawala Bora na Viongozi wa Umma?

  Nawasilisha!
   
 2. D

  DAR si LAMU JF-Expert Member

  #2
  May 11, 2012
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 2,942
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  Mods,

  ...Itakuwa vyema kama hii post itaunganishwa na ile ya Willy Malecela, inayoongelea Azimio la Arusha.

  mchambakwao,

  ...Hebu shiriki na sisi kwenye hiyo "kutafakari sana" yako. Angalau masuala machache haitakuwa vibaya, ili tujadili.
   
 3. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #3
  May 11, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Kwanza Nusu ya Wabunge wote hawatakuwa wabunge kwa sababu mbalimbali za Miiko ya Uongozi za Azimio la Arusha

  Pili Mali za wabunge wengi zimepatikana kinyume cha sheria Ufisadi zitataifishwa

  Tatu Kuna baadhi ya Wabunge, Mawaziri, Wakuu wa Mkoa na Wakuu wa wilaya wameteuliwa kwa sababu ya Undugu au

  Ushirikina na Uongozi wa Juu wa Chama au Upendeleo sababu ya kufahamiana wote hao watakatwa panga

  ** KWA CCM YA SASA HAIWEZEKANI
   
Loading...