Wabunge hawa wa CHADEMA: Highnes Kiwia na Salvatory Machemuli. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge hawa wa CHADEMA: Highnes Kiwia na Salvatory Machemuli.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Idimulwa, May 11, 2012.

 1. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #1
  May 11, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Walichalangwa mapanga usiku wa kuamukia 01-04-2012 ambayo ilikuwa siku ya kupiga kura kumchagua diwani kwenye uchaguzi mdogo kata ya Kirumba jijini Mwanza.

  Kwa mara ya mwisho walionyeshwa na vituo kadhaa vya Television hapa nchini wakishushwa kwenye machela pale Muhimbili Hospital kwa ajili ya matibabu zaidi wakitokea Mwanza.

  Ni muda sasa habari zao hazijasikika na wote wawili hawakuonekana kwenye kikao cha bunge kilichomalizika hivi majuzi.

  Wako wapi makamanda hawa na wanaendeleaje??

  Naomba mwenye taarifa atujuze. tafadhari.
   
Loading...