Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Naomba wanaJF kwa niaba ya watanzania wote tujaribu kulimlika hili; Tanzania imedhihirika wazi kuwa katika hali ya kawaida katika maisha yetu ya kila siku hasa ya kisiasa hakuna kitu kama kusema...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu wanabodi, Wahenga husema siku zote ni mwenye kuvaa kiatu ndiye ajuaye ni wapi hasa kiatu chake kinambana na hivyo ni wajibu wake huyo huyo kujua afanye nini ili kujinasua na uchungu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Si CCM wala kiongozi wake hata mmoja mwenye ubavu huu.Ubavu wa kuruhusu au kutoruhusu mjadala wa Mgombea binafsi.Suala hilo ni la kikatiba;si la kichama.Watanzania watajiamulia kuwepo ama la.Tena...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Wapo watu wanaotaka kutuaminisha kabisa kwamba migomo kwenye vyuo vikuu inasababishwa na siasa. Wamejaribu kupotosha kabisa maana halisi ya siasa ili kuonyesha udhaifu wa kiutendaji katika baadhi...
1 Reactions
0 Replies
989 Views
Ndugu zangu watanzania, nawaomba sana kuhusu suala hili la tume ya katiba tujaribu kuwa na uvumilivu wa kisiasa tukishaanza kupandikiza mambo ya udini hatari iliyo mbele yetu itakuwa kubwa sana...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Posted by JokaKuu | May 15, 2012 ..kwa jinsi nilivyomuelewa Makongoro Nyerere kutokana na maelezo yake anakwenda ktk bunge la EAC kuhakikisha kwamba Tanzania inaondoa pingamizi lake ktk masuala...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
wana Bodi Huku kukiwa na vuguvugu kali la kisiasa na kijamii hapa Mwanga kuhusu wazazi kuanza kuchangishwa kati ya Tsh 500 - 1000 kwa ajili ya ununuzi wa Chaki Shule za Msingi. Leo tarehe...
0 Reactions
1 Replies
935 Views
Jana Chadema wamefanya mkutano wao wa Mkoa wilayani Ngara na baadaye kuunda vikosi nane ambavyo vimepetapanywa wilaya nzima ili kufanya Mikutano ya hadhara. Vikosi hivyo vimepelekwa maeneo ya...
2 Reactions
34 Replies
5K Views
Nilipita uwanja mmoja huko mbezi kwa msuguri uwanja ambao Juma Kaseja huwa anafanyia mazoezi binafsi kwani upo karibu na bangaloo lake,timu moja ya watoto ilifunga wenzao wakashangilia sana,mtoto...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wenye viti wa vijiji wanachukuliwa hatua gani?
0 Reactions
2 Replies
934 Views
CCM Mwanza kumwonjesha Kikwete Shubiri Makada wa CCM wamo katika mkakati mkubwa wa kuhakikisha wanaonyesha chukizo lao kwa Mwenyekiti wa Chama hicho kutokana na madai ya kuwapuuza kwa muda mrefu...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
http://youtu.be/hJCF04sajs0
0 Reactions
22 Replies
3K Views
WAZIRI wa Ushirikiano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Samwel Sitta amesema taifa linakabiliwa na viongozi wenye sura mbili ambao ni wale wasio waadilifu wanaofikiri kwa kutumia matumbo kwa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
1.Kujenga reli mpya kutoka Dar es Salaam mpaka mikoa yaKanda ya ziwa - Nzega, Tabora 2.Mkoa wa Tanga kuwa Jiji la Viwanda - Tanga mjini 3.Tabora kutumia maji ya Ziwa Victoria - Igunga 4.Kulipa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu kweli ccm imeshikwa pabaya na bila shaka inajua mwaka 2015 ndio mwisho wake na hili la kamati kuu ya ccm kukubali kwamba matokeo ya urais yawe na pingamizi yamedhihirisha hilo natoa hoja...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Viongozi wa CHADEMA na wanachama na wapenzi wa CHADEMA dawa pekee ya kupambana na huyu comedian Shibuda ni kumdharau na kumpuuza.Kwani kutumia muda mrefu kumjadili ni kumpa umaharufu ambao...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar SMZ imepiga marufuku usafirishaji wa mchele toka visiwani Zanzibar kuja bara hii imekuja mara baada ya aerikali ya SMZ kuondoa kodi katika bidhaa hiyo: My...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Wana JF na wapenda mabadiliko wote; nafikiri huu ni wakati muafaka wa CDM kuanza kutoa somo kwa wananchi juu ya mabadiliko ya msingi kwenye katiba mpya, Serikali ya ccm inaweza isitoe somo hilo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Huyu Mheshimiwa amekuwa ni lulu miongoni mwa wasukuma mkoani SIMIYU kiasi ambacho uongozi wa Chadema unashindwa kumchukulia hatua kali za kinidhamu kwa kuhofia kufukuzwa kwa Shibuda kunafuatia na...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
MGOMBEA BINAFSI KUWA PIGO KWA VYAMA VYA UPINZANI? Chama Cha Mapinduzi kama mdau miongoni mwa wenye haki kisheria kutoa maoni kuhusu mabadiliko ya Katiba, leo kimetangaza msimamo wake kuhusu mambo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…