KUNA MWANA JAMII FORUM ALITAKA KUJUA SABABU YA MBUNGE KUWEKWA RUMANDE.
JUMANNE, JUNI 05, 2012 06:28 NA OTILIA PAULINUS
Badwel akiwa chini ya ulinzi wa polisi kwa tuhuma za rushwa.Badwel...
By 2015, Zitto atakuwa ana miaka 39, pungufu ya kile kinachotakiwa kugombea uraisi kwa katiba ya sasa.
Hili, bado halijaacha wanafiki na magamba ya CCM hapa JF, kuendeleza pumba zao za kutaka...
Wanabodi hebu tuchangie hili. Inasemekana mshahara wa ubunge plus mfuko wa jimbo si kitu, mihela mingi inapatikana kwenye hizi kamati wanazoziunda. Inawezekana japo bado hukumu hili la mbunge wa...
Tanzania's president is waging a war on hunger - and while he's at it, he wants to modernize his East African nation's agricultural sector to lift millions of his countrymen out of poverty.
But...
Kwanini wapinzani hawaalikwi katika kipindi hiki, tumechoka na longolongo za hao wanaokuwepo humo, wanaongea visivyoeleweka, wanadanganya na kukataa ukweli tu, uongozi ITV tendeni haki kama kweli...
Nimepita hapa Manzese leo asubuhi nikaona CCM wapo pale kama vile kuna mkutano. Anyone with idea ni nini wanataka kufanya leo au ndio propaganda zao za kuwajibu CHADEMA
Katika hali inayoonyesha kampeni ya M4C mikoa ya kusini imevunja rekodi wananchi mbalimbali hususan vijana wamekuwa wakigombea kadi za CDM na wengine kuzisaka sehemu mbalimbali mjini Mtwara...
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimekiliza tena Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kuibomoa tena ngome yake baada ya kuwachomoa wanachama takriban 400, akiwamo Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana...
Hima Hima wana CCM sasa ni wakati wa kuwa wagumu ili chama kibadilike muonekano wake miongoni mwa wanajamii. Kuzorota kwa CCM ni anguko la wazee, vijana na watoto wenye utashi na upendo wa dhati...
Jana usiku nimemsikiliza kwa makini mheshimiwa Tundu Lissu kwenye kipindi cha Kipima Joto cha ITV kuhusu mada iliyosema, Je kundi la Uamsho lipo juu ya sheria? Argument ya Lissu ilikuwa kwamba...
Baa zote zilifungwa na shughuli zote katika Wilaya ya Masasi zilisimamishwa muda kutokana na Mkutano wa Chadema aliokuwa ukifanyika katika ya Wilaya ya Masasi siku ya tarehe 3 - Mei - 2012.
Hii...
Rais Jakaya Kikwete amewapongeza wakazi wote wa Arusha kwa kurudisha amani iliyokuwa imepotea.
Rais amesema kamwe serikali yake isingeruhusu mkutano wa kimataifa kufanyika Arusha katika hali ya...
Hali hii imejitokeza mwaka wa fedha huu unaoisha na ule wa 2010/11. Je, na mwaka huu tutegemee hali hiyo hiyo maana waziri wa fedha ametangaza kutenga tri.15.
Nakumbuka wakati wa kampeni more than once, Comptroller Auditor General (CAG) alisema watafanya ukaguzi wa fedha za kampeni kwa vyama vyote vilivyoshiriki uchaguzi. Cha ajabu naona hiyo ishu sasa...
Hii ndio Kauli ya Mhe. Ezekiel Maige katika Ukurasa wake wa Face Book:
".......Ndugu zangu na rafiki zangu. Kwanza niwape pole kwa mshituko mlioupata kwa haya yaliyojitokeza. Naomba...
Mashaka Mgeta | Nipashe Jumapili | 3rd June 2012
Maandamano na mikutano ya hadhara inayofanywa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), imebainika kuwa...
Thread yangu niliyoianzisha hapa ikapigwa vita sana na kuhamishwa...Ile iliyokuwa ikisema.."Kikwete akataa Ballali Asiletwe"
Sasa tumeshagundua kuwa that was the case...Ila tunabaki na fununu tu...
WAKATI Mbunge wa Bahi, Omar Badwel anatarajiwa kufikishwa mahakamani leo kwa tuhuma za kupokea rushwa, Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila ameilipua Kamati ya Bunge ya Serikali za Mitaa (LAAC)...
Kwa muda mrefu sasa wafanyakazi wa UDOM wanadai salary arreas zao za promotions toka Tutorial assistant kwenda assistant lecturer toka mwezi november 2010 hadi leo japo walishajaza salary arreas...
Nianze kuwapongeza makamada wa CHADEMA kwakuweza kuwanyima usingi CCM kwakuwambia nchi hii niyetu sote hivyo tunahiitaji 2015 kwa kupitia box la mpiga kura nia tumeionyesha hivyo natoa pongezi...