Waziri wa nchi ofisi ya rais Mahusiano na uratibu Mh. S. Wassira naona yup ndani ya ITV kipindi ni DK 45 akidadavua mambo mbali mbali.
Mpaka hapa naona anazungumzia suala la Zanzibar.
Stay...
Mbunge wa Msalala CCM Ezekiel Maige amekitabiria ushindi mkubwa chama cha Demokrasia na Maendeleo-CDM katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.
Maige amesema hiyo inatokana na vita ya makundi ndani ya...
Kila mtu ndani ya nchi yetu ana imba amani na utulivu.Rais anahubiri amani na utulivu,viongozi wa dini nao halikadhalika.Nikweli amani ni tunda la rehema lililosheheni utulivu upendo na...
Kuna kila sababu sisi ijana na Watanzania wote tukipe ridhaa CHADEMA kiunde serikali mwaka 2015. CCM ni chama muflisi kilichoshinda kuzuia ubaguzi wa aina zote.
Hata vurugu za ZNZ ni matokeo ya...
Mbunge wa CCM apanda kizimbani
Mbunge wa jimbo la Bahi kupitia chama cha (CCM), Omary Ahmed Badwel amefikishwa katika Mahakama ya Kisutu akikabiliwa na mashtaka mawili ya kushawishi na...
Wanajamvi, nimesikia matangazo ule mkutano wa hadhara utakaohutubiwa na KUB ambaye pia ni mwenyekiti wa chadema Kamanda wa anga Mh. Freeman A. Mbowe MB. katibu mkuu Dr. Wilbrod P. Slaa, Cheaf...
Waungwana tangu chama hiki kipate nguvu ya uungwaji mkono na ruzuku kimeanzisha mapambano ambayo kimsingi sioni kama ni muhimu kwa chama cha siasa. Natumbua lengo la chama cha siasa ni kushika...
Kwa maoni yangu, dalili za kuwa Muungano tulionao unaelekea kifo zipo wazi. Labda utakufa kabisa au utabadilishwa muundo kwa kiwango kikubwa ili upate angalau ka uhai ka muda, kabla ya kifo rasmi...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe akiwahutubia wananchi wa mji wa Newala mkoani Mtwara, katika mkutano wa hadhara, leo. (Picha na Joseph Senga)...
Baada ya zanzibar kutengemaa,baada ya CUF vs CCM kuunda serikalii..limezaliwa lingine la Uamsho...likiisha hili litazaliwa la Pemba kutaka nchi yao(kumbuka waraka ulioenda umoja wa mataifa)
""Vox...
ORODHA HII HAPA CHINI
1. RAMADHANI KIJA - ATAHAMA;
2. S. LIKWELILE - ATAHAMA NA KUPATA U KM;
3. MAPUNJO (ATAHAMA) - KURA YA VITI MAALUM ITAMTETEA; (ila kabla hajahama, ATAPATA BARUA YA KUJIUZULU...
Vigogo CCM wahaha kupata Ripoti Kamati ya Bashe
BAADHI ya vigogo wa CCM na wale wa Umoja wa Vijana wa chama hicho, (UVCCM) jana walikuwa wakihaha kupata ripoti ya kamati iliyoundwa Machi mwaka...
by Baraka Mfunguo at Friday, June 01, 2012 0 comments Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to Facebook,KWA nini tunazungusha maneno? Tuseme ukweli tu kwamba endapo Muungano utavunjika wa...
Wanasheria wa Zanzibar wakerwaPosted on June 4, 2012 by zanzibaryetu
Rais wa Chama Cha Wanasheria Zanzibar (ZLS) Awadh Ali Said akiongea katika sherehe za kuadhimisha siku ya sheria duniani katika...
Akiongea kwa jazba kali Mh moses Machali alisema kua kitendo alichokifanya Wenje kumuita mwenyekiti wao James Mbatia kua ni kibaraka kwa kukubali uteuzi wa rais hakiwezi kuvumilika na kumtaka...
Nitawaomba wananchi wenzangu wa LINDI..kunipa nafasi..nikasimamie maslai yetu(wananchi)walala hoi..nikakomae na walala Kheri..wasije tupiga bao la kisigino
Naanza na ibara ya 8(vifungu...
Waziri mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya ufisadi ya Richmond/Dowans, Edward Lowassa, ameendelea kujizatiti Bungeni kwa wafuasi wake kushika nafasi nyeti, huku Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA, Zitto...
Kaimu mwenyekiti wa UVCCM Benno Malisa amekishambulia kwa maneno makali chama CDM kwa madai kuwa kimekuwa kikiisakama serikali ya chama chake.
Akifungua kikao cha baraza kuu la UVCCM huko Dodoma...
Hatari,hatari kubwa sana kwa serikali,bunge na hata mahakama!Ikiwa mwenyekiti wa kamati ya bunge ya viwanda na biashara kwenda kinyume na wajumbe wa kamati na bunge basi hiyo ni hatari kwa usalama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.