CCM ndani ya Manzese

Godee jr

JF-Expert Member
Apr 17, 2012
1,782
2,373
Nimepita hapa Manzese leo asubuhi nikaona CCM wapo pale kama vile kuna mkutano. Anyone with idea ni nini wanataka kufanya leo au ndio propaganda zao za kuwajibu CHADEMA
 
nikafikiri wanataka kuwajibu chadema wangekiona cha moto kwanza haina haja kwa sababu itaonekana ni jinsi ccm ilivyo dhaifu kujibu hoja za chadema wakati taifa linaangamia.
 
Back
Top Bottom