Bajeti ijayo ndo italipa salary arrears za promotions za July-August 2011 za UDOM? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bajeti ijayo ndo italipa salary arrears za promotions za July-August 2011 za UDOM?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mwamola, Jun 5, 2012.

 1. m

  mwamola Senior Member

  #1
  Jun 5, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 109
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa muda mrefu sasa wafanyakazi wa UDOM wanadai salary arreas zao za promotions toka Tutorial assistant kwenda assistant lecturer toka mwezi november 2010 hadi leo japo walishajaza salary arreas claim forms.

  Bajeti ya 2011/2012 hawajalipwa na cha kushangaza sana kamati ya ustawi wa jamii na mashirika ya umma mbona hili hamlioni? au ustawi wa jamii hauihusu jamii hii ya UDOM? na mh Zitto na kamati yako UDOM si shirika la UMMA?
   
 2. k

  kaeso JF-Expert Member

  #2
  Jun 5, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 551
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mmeambiwa serikali haina ankara kwa sasa....
   
 3. Tukundane

  Tukundane JF-Expert Member

  #3
  Jun 5, 2012
  Joined: Apr 17, 2012
  Messages: 8,312
  Likes Received: 2,677
  Trophy Points: 280
  Kama italipa itakuwa ni muujiza kwani hata fedha zenyewe za bajeti zitakuwa hazipo. bajeti ya tz mara nyingi inategemea huruma ya wahisani ndio maana bajeti ilio pita wizara nyingi hazikupata kiwango kilichoombwa.
   
 4. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #4
  Jun 5, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Vumilia wewe!!!!!!! si uliipa CCM Ridhaa ya kutuongoza tena kupitia kura yako subiri mpaka 2015 huku ukiendelea kuvaa T-shirt na kofia walizokupa
   
Loading...