CCM Kama noma iwe noma, AIBU IEPUKWE Mtwara!

MAFILILI

JF-Expert Member
Apr 28, 2011
2,377
1,194
Hima Hima wana CCM sasa ni wakati wa kuwa wagumu ili chama kibadilike muonekano wake miongoni mwa wanajamii. Kuzorota kwa CCM ni anguko la wazee, vijana na watoto wenye utashi na upendo wa dhati kwa Tanzania.

Nawashangaa wana CCM wenzangu wa mkoa wa Mtwara kubadilika na upepo wa msimu ambao mbeleni MTAJUTA, CHADEMA inataka kuwatumia ili waweze kutimiza kura TU.

Chonde chonde Wamakua, Wayao, Wamakonde na Wamwera kwa nini mnatutesa nyie ni CCM damu damu tangu enzi za TANU mliitikia vyema sera za Ujamaa na Kujitegemea, mkawa mfano wa VIJIJI VYA UJAMAA, leo hii Dr. Slaa & CO mnawapa nafasi hadi vijijini kwenu kufungua matawi.

Mkuchika, Ghasia, Mama Kasembe, Murji, Mkapa wa Nanyumbu, Njwayo na Bwanausi fanyeni KIKAO CHA DHARULA tuepuke FEDHEHA ya leo CHADEMA kuingia hadi maeneo ya jikoni!!!!
 
Hima Hima wana CCM sasa ni wakati wa kuwa wagumu ili chama kibadilike munekano wake miongoni mwa wanajamii. Kuzorota kwa CCM ni anguko la wazee, vijana na watoto wenye utashi na upendo wa dhati kwa Tanzania.

Nawashangaa wana CCm wenzangu wa mkoa wa Mtwara kubadilika na upepo wa msimu ambao mbeleni MTAJUTA, Chadema inataka kuwatumia ili waweze kutimiza kura TU.

Chonde chonde Wamakua, Wayao, Wamakonde na Wamwera kwa nini mnatutesa nyie ni CCM damu damu tangu enzi za TANU mliitikia vyema sera za Ujamaa na Kujitegemea, mkawa mfano wa VIJIJI VYA UJAMAA, leo hii Dr. Slaa & CO mnawapa nafasi hadi vijijini kwenu kufungua matawi.

Mkuchika, Ghasia, Mama Kasembe, Murji, Mkapa wa Nanyumbu, Njwayo na Bwanausi fanyeni KIKAO CHA DHARULA tuepuke FEDHEHA ya leo Chadema kuingia hadi maeneo ya jikoni!!!!

Acha kuwa danganya wenzio, anaye ipenda sisiemu ana faidika nayo, je, unaweza kuwaambia hao unao waonya mpaka sasa wamefaidika nini na magamba? Ama kweli inabidi uwe na akili ya maiti kuiunga mkono sisiemu. Jipe moyo tu kwamba huo ni upepo tu, utakapo ng'oa mapaa, miti, na kila kilichopo juu ya nchi ndipo utaamini. Hofu yako ni kutaka kuungwa mkono sababu unajua kiama kwa mafisadi kama wewe kinakuja.
 
Hahahahahahahaha.................."Ama kweli inabidi uwe na akili ya maiti kuiunga mkoni sisiemu"

Haya manEno kila wakati nayakumbuku kina rejeo, mafilil, ritz & co mnahitaji maombi ya uamsho mpate kufufuka
 
Hima Hima wana CCM sasa ni wakati wa kuwa wagumu ili chama kibadilike munekano wake miongoni mwa wanajamii. Kuzorota kwa CCM ni anguko la wazee, vijana na watoto wenye utashi na upendo wa dhati kwa Tanzania.

Nawashangaa wana CCm wenzangu wa mkoa wa Mtwara kubadilika na upepo wa msimu ambao mbeleni MTAJUTA, Chadema inataka kuwatumia ili waweze kutimiza kura TU.

Chonde chonde Wamakua, Wayao, Wamakonde na Wamwera kwa nini mnatutesa nyie ni CCM damu damu tangu enzi za TANU mliitikia vyema sera za Ujamaa na Kujitegemea, mkawa mfano wa VIJIJI VYA UJAMAA, leo hii Dr. Slaa & CO mnawapa nafasi hadi vijijini kwenu kufungua matawi.

Mkuchika, Ghasia, Mama Kasembe, Murji, Mkapa wa Nanyumbu, Njwayo na Bwanausi fanyeni KIKAO CHA DHARULA tuepuke FEDHEHA ya leo Chadema kuingia hadi maeneo ya jikoni!!!!
nimeipenda hiyo stahili yako ya kuua kinyume uandishi uliotumia kama wa nyaronyo kichere
 
Mafilili, kumbe wewe kilaza namna hii?

Hivi humu mtandaoni kuna idadi kubwa ya hao wamtwara hadi unaandika ugoro wako humu?.

Kama kweli unawapa usahauri, wafate huko huko na uwamwagie sera zako, si kuhubiri pumba humu ndani.

The unseen is illustrated by the seen
 
CCM haijatufanyia kitu chochote cha Maana wana kusini tangu Uhuru wa ile nchi iliyo kaa miaka 3 ikafutika duniani.
 
mmechelewa mtaji wenu {ujinga] tumeufilisi mtakoma mwaka huu. Mlitegemea wananchi waendelee kuwa wajinga ili mtawale milele sasa elimu ya uraia umeenea mtaji wenu nini? au hamna mbadala?
 
Kweli akili finyu..yaani unashauri watu coz walikuwa supporter wazuri wa TANU na CCM ya enzi zile waendelee tu kisa ushabiki..kwa namna hiyo kamwe tutaendelea kuwa maskini
 
Makamanda komaeni mpaka kieleweke, mmeacha ndugu zenu, wake/waume zenu, marafiki zenu,mko na Mungu pekee akiwaongoza, atakaejaribu kuwaloga sir God atamflekelea mbali.

Inginieni kabisa mpaka jikoni fungueni matawi, kata miti,ng'oa mizizi tupilia mbali,funikafunika magugu choma nyasi zote.

Eeee mwenyezi Mungu watangulie magwanda waokoe hiki kizazi, tunaomba uiite CCM iende kuzimu, uichome moto hata siku tukija huko tusikute majivu, na iwe hivo aaameeeeeen!
 
Usiwe na hofu kijana, hao Mtwara wanaeda kutazama show za bure. Ukweli ni kwenye kura, na bado muda wake.
 
Mafilifili kwa nini iliamua kutumia ID hii, kwetu mafilifili ni mafunza fulani.

Mkitekeleza ilani ya CCM itawasaidia kuwaokoa!!!!!
 
Hakika leo Mafilili nakuunga mkono.Kwa mtu niliyesoma Fasihi nimeelewa unachowaambia CCM
 
Hima Hima wana CCM sasa ni wakati wa kuwa wagumu ili chama kibadilike munekano wake miongoni mwa wanajamii. Kuzorota kwa CCM ni anguko la wazee, vijana na watoto wenye utashi na upendo wa dhati kwa Tanzania.

Nawashangaa wana CCm wenzangu wa mkoa wa Mtwara kubadilika na upepo wa msimu ambao mbeleni MTAJUTA, Chadema inataka kuwatumia ili waweze kutimiza kura TU.

Chonde chonde Wamakua, Wayao, Wamakonde na Wamwera kwa nini mnatutesa nyie ni CCM damu damu tangu enzi za TANU mliitikia vyema sera za Ujamaa na Kujitegemea, mkawa mfano wa VIJIJI VYA UJAMAA, leo hii Dr. Slaa & CO mnawapa nafasi hadi vijijini kwenu kufungua matawi.

Mkuchika, Ghasia, Mama Kasembe, Murji, Mkapa wa Nanyumbu, Njwayo na Bwanausi fanyeni KIKAO CHA DHARULA tuepuke FEDHEHA ya leo Chadema kuingia hadi maeneo ya jikoni!!!!

Hatimaye wamekubali... Peoples power..... Mlifikiri kusini ndiyo wajinga waliwao lakini wamewastuki na kuwapiga bao....

Peeeeepleeeeeos power
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom