Ushauri kwa wana CCM: Kama mnampenda Zitto awe rais 2015, msimamisheni kupitia CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri kwa wana CCM: Kama mnampenda Zitto awe rais 2015, msimamisheni kupitia CCM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nani Kasema, Jun 5, 2012.

 1. Nani Kasema

  Nani Kasema Senior Member

  #1
  Jun 5, 2012
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 148
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  By 2015, Zitto atakuwa ana miaka 39, pungufu ya kile kinachotakiwa kugombea uraisi kwa katiba ya sasa.

  Hili, bado halijaacha wanafiki na magamba ya CCM hapa JF, kuendeleza pumba zao za kutaka CHADEMA wamsimamishe Zitto mwaka 2015.

  Ushauri wangu kwao ni huu,

  Kama mnampenda Zitto kihivyo, msimamisheni kupitia chama cha magamba (CCM).

  Au kama unafikiria kuwa Zitto anapendwa kuliko CHADEMA, na kama Zitto naye anafikiri kuwa yeye yuko zaidi ya CHADEMA, basi ahame na kuanzisha chama ili "wapenzi" wake wote wamfuate huko kama walivyomfuata Mrema TLP mwaka ule????
   
 2. Nani Kasema

  Nani Kasema Senior Member

  #2
  Jun 5, 2012
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 148
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa sasa nakutizameni nyie wawili hapo chini

  Zomba na mwenzako Kimbunga
   
 3. Nani Kasema

  Nani Kasema Senior Member

  #3
  Jun 5, 2012
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 148
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna wengine wanasema kuwa Zitto na Shibuda ni popular kuliko CDM,

  Kama kweli Zitto na Shibuda wanaamini hizi pumba za magamba, basi, waanzishe chama na wakiite

  CCMYC - chama cha mapinduzi ya chadema

  halafu wagombee pamoja mwaka 2015 - Zitto rais, Shibuda awe mgombea mwenza

  Kisha, kama alivyotamba Shibuda, wamuite Kikwete aje kuwapigia kampeni
   
 4. Nani Kasema

  Nani Kasema Senior Member

  #4
  Jun 5, 2012
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 148
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Zomba wa JF (systems at work) atawasaidia sana kwenye communication na propaganda
   
 5. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #5
  Jun 5, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Mkuu, huwzi kutenganisha Mgombea anayekubalika na chama chake. Kama kinachomata ni chama na siyo Mgombea mwenye mvuto, hata Shibuda anaweza kupitishwa na CDM. Tuwaache watanzania wajadili, wapime na kuchambua kiongozi wamtakaye. Ingependeza kama na wewe ungependekeza kiongozi unayeona anafaa kuliko kutanguliza shutuma.
   
 6. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #6
  Jun 5, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Sisi bado tunamtaka PADRE awe rais!
   
 7. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #7
  Jun 5, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Chama hakiwezi kuwa cha watu wawili, Watu hawezi kuacha kutoa maoni yao kwa sababu tu chama ni cha wawili. Mwanachama hawezi kuwacha kutangaza nia yake kwa sababu eti anakuwa juu ya umpendaye ni ,dhana potofu.
   
 8. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #8
  Jun 5, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  Umejidharirisha na ndio maana umepost mwenyewe na unajijibu mwenyewe! post 1-4 zote zako mwenyewe.
   
 9. Nani Kasema

  Nani Kasema Senior Member

  #9
  Jun 5, 2012
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 148
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hiri rimura naro sijui rimetoka wapi

  Zitto hana sifa za kugombea uraisi kwa mujibu wa katiba ya sasa, kama magamba (wewe ni mmoja wao) mnampenda, basi mumpitishe huko ndani ya chama cha magamba na majambazi (ccm) m
   
 10. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #10
  Jun 5, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  Niombe radhi mkuu, mimi chama changu ADC sio CCM.

  Mkuu wangu Nani Kasema , CDM haina mtu wa kugombea kwa sasa, slaa majeruhi, mbowe anafit business kuliko siasa pale yupo tu hana jinsi kwa kuwa mkwe ndio anaforce, kwahiyo only hope ni zitto sema umri nao mgogoro ila hili katika katiba mpya tutali-adress .

  Tuungane mkuu wangu.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Nani Kasema

  Nani Kasema Senior Member

  #11
  Jun 5, 2012
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 148
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wewe ni magamba, post zako zote zinakuonesha hivyo

  siwezi kuungana na watu wenye mtazamo wa magamba

  CDM bado imara sana, ina watu wengi sana wanaofaa

  Dr Slaa na Mbowe bado ni makamanda wa nguvu, Mnyika ndo mwanzo anawachachafya.

  Kwa upande mwingine,kuna kundi kubwa sana la vijana wanaokuja juu -- kama Kitila Mkumbo (aliwahi kuwa raisi wa Daruso huyu) wenye uwezo mkubwa tu wa kuongoza

  Nyie magamba bakini na Wasirra na mafisadi wenzenu huko.
   
Loading...