Ni hatua zipi zinaweza kuchukuliwa na CHADEMA? Kama hakuna usawa wa demokrasia

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Nianze kuwapongeza makamada wa CHADEMA kwakuweza kuwanyima usingi CCM kwakuwambia nchi hii niyetu sote hivyo tunahiitaji 2015 kwa kupitia box la mpiga kura nia tumeionyesha hivyo natoa pongezi nyingi kwenu makamanda wetu.

Pili naomba kuuliza kwawana siasa waliobobea kwenye maswala ya siasa je ni hatua gani zinaweza kuchukuliwa endapo serikali iliyopo madarakani haiwajibiki kwa wananchi na haiendeshi serikali kwa maslai ya wananchi??Je nimpaka wabunge pekee ndio wana uwezo wakupiga kura ya kutokuwa na imani??

Au ni mpaka katiba ya sasa ibadrishwe kiwekwe kipengele cha wananchi kutokuwa na imani na utawala uliopo madarakani??

Je katiba ya sasa inasemaje kuhusu hili??
 
Back
Top Bottom