Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

By the look jinsi CHADEDMA wanavyoendelea na siasa hizi zilizozidi propaganda itawachukua mda sana kufika wanapohitaji. Unapohubiri usafi halafu mtu anajivua gamba na hapo hapo anakuwa kamanda...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Wednesday, 06 June 2012 21:15 Geofrey Nyang'oro CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) jana kilizindua vuguvugu la mabadiliko (M4C) katika Mkoa wa Lindi huku kikimtaka Mbunge wa Jimbo...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Watanzania wenzangu naomba mnisaidie Ujana unaishia miaka mingapi kwani Watanzania wengi hususan Wanasiasa wamekuwa hawataki kutoka kwenye hili daraja na siku zote wanang'ang'ana kwenye Ujana...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Katika hatua nyingine, Mbowe alijikuta akipinga hoja ya ofisa wa polisi aliyesemekana kuwa Mkuu wa Polisi Wilaya ya Nanyumbu, alipomtaka ashuke jukwaani kwa madai kuwa muda wa kuhutubia ulikuwa...
10 Reactions
52 Replies
6K Views
NCHI yetu inaingia kwenye mchakato wa kuandika Katiba mpya. Tayari Bunge limepitisha muswada wa kuanzisha mchakato huo. Moja ya mambo yanayoyumbisha nchi ni suala la Muungano usioeleweka. Je...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wenje achachamaa na Mwandishi wetu MBUNGE wa Nyamagana, Ezekiel Wenje (CHADEMA), amesema kamwe hatakiomba radhi Chama cha NCCR-Mageuzi kwa kuwa anaamini Mwenyekiti wa chama hicho, James...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Kamati ya bunge ya miundombinu katika taarifa yake bungeni ililalamikia uteuzi wa kaimu mkurugenzi mkuu wa ATCL kuwa haukufuata vigezo, sheria na kanuni. Waziri Mwakyembe baada ya kuingia ofisini...
0 Reactions
0 Replies
890 Views
“Kampuni nyingi za simu za mkononi hazilipi kodi kama inavyotakiwa, hivyo tunatakiwa kutafuta njia maalumu za kuzibana ili ziweze kulipa kodi kama inavyotakiwa,” alisema Zitto. Mbunge huyo wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ahadi nyingi ambazo zili ahidiwa na chama cha CCM kupitia mgombea wake kipindi cha uchaguzi hazitatekelezwa kwa sababu nyingi zililenga kuwashawishi wanachi waweze kukipa kura chama hicho. Hata...
0 Reactions
0 Replies
816 Views
Mwandishi Manyerere aliyefanya mahojiano haya akiwa na wanauamsho Haya ndiyo madai ya Uamsho kuuvunja Muungano *Wasema bayana kwamba wanataka Zanzibar iwe 'Sovereign State', ijitawale yenyewe...
0 Reactions
46 Replies
5K Views
Nimefurahi sana kusikia Halmashauri 3 ambazo ni ngome ya CHADEMA zimeshika nafasi 3 bora katika usafi wa miji na majiji. Hii inamaanisha, tukitaka miji safi, basi Halmashauri zote ziongozwe na...
2 Reactions
44 Replies
4K Views
Inaelekea Shein ni mkimya sana. Makamo wetu wa raisi huyu kwangu mimi ndiye ninayeona anayefaa kuongoza nchi 2015. Hayupo kwenye spotlight sana kama viongozi wengine wakuu. Katika viongozi...
0 Reactions
69 Replies
7K Views
Kamati ya Miundo mbinu jana ilikumbwa na tafrani baada ya wajumbe wake kudaiwa kumshambulia kwa maneno makamu mwenyekiti wa kamati hiyo Anne Kilango wakidai amewasiliti. Kwa mujibu wa taarifa ni...
0 Reactions
61 Replies
6K Views
Najua nafasi uliyonayo ni nafasi za watoto wa vigogo ila hilo tuachane nalo. Ndugu yangu nape kazi unayofanya kukiimarisha chama chako kwa mikutano na maandamano ni kazi bure. Nini serikali yako...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Taarifa kadhaa za tafiti ambazo zimekuwa zikifanywa na taasisi mbalimbali nchini zinabainisha kwamba Jeshi la Polisi nchini ni kinara wa vitendo vya rushwa. Moja ya ripoti za utafiti ni...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ndugu zangu, Afrika mvunja nchi si mwananchi, bali ni mwanasiasa na hata kiongozi wa kidini. Ni kwa kutanguliza mbele maslahi binafsi na ya kundi dogo badala ya yale ya kitaifa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ingawa si rahisi sana, kiukweli natamani kuwa kama Godbless Lema. Ingawa yeye amezaliwa Arusha na mimi Pwani, haijalishi. Pamoja na kuvuliwa Ubunge wa Arusha Mjini haonyeshi kutetereka...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nampa pole za dhati Ndugu Godbless Lema. Nilikuwa pale Viwanja vya Jangwani Dar es salaam siku ya Uzinduzi wa Vuguvugu la Mabadiriko (Movement For Change). Maelfu na maelfu ya vijana walionyesha...
11 Reactions
92 Replies
11K Views
Kama Mungu yupo, kweli atakua anaona dhamira yangu dhidi yako kaka yangu. Nimekua nikifikiria sana kwamba kwa matatizo yaliyoikuta haki nchi hii katika jimbo lako yanaweza kukufanya ukajutiat kuwa...
4 Reactions
35 Replies
3K Views
Mbunge wa Bahi(CCM) Omar Badwel hakupokea rushwa. Kusema Mbunge Badwel amepokea rushwa ni dharau kwa mahakama. Dharau hii haivumiliki. Mahakama zetu,hivi sasa,zimeazimia kutenda haki. Mbunge...
1 Reactions
100 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…