Mnyonge mnyongeni, ila haki yake mpeni. Wanaojua, wanajua. Hakuna SMZ bila Tanganyika. Isingedumu.
Ndio maana yule Mzee wa Watu alisema, kwa sababu anajua, "Nje ya Muungano, Hakuna Zanzibar"...
Prof Shivji katika kipindi chake cha Katiba ITV kasema hakuna Dola ya Tanganyika. Ni mipaka tu ya wakoloni iliyoifanya hiyo Tanganyika ambayo ilidumu kwa miaka mitatu tu na ndipo ilipozaliwa...
Tawi la CHADEMA Washington DC lazidi kumwaga kadi za uwanachama DMV...!!!
Mwenyeketi wa Tawi la Chama Cha Demokrasia CHADEMA Washington DC Kalley Pandukizi akiwa na katibu wachama...
Ni vigumu kuamin uwanja wa ndege wa Arusha umeshindwa kumalizika katika muda uliopangwa kotokana na serikali kushindwa kumlipa mkandarasi wakati uwanja huo unaaingizia serikali mamilion ya pesa...
2012/13 Budget Participation
On June the 14th this year the Finance Minister will present the Government Budget for approval by Parliament. As it is well known the budget is the annual...
Waumini wa dini ya kiislamu wakiwa ndani ya msikiti wa Mbuyuni wakionesha mabango ya kukataa Muungano wakati Sheikh Farid (hayupo pichani) akizungumza
Amir Farid Hadi Ahmed...
Wafuasi wa Chama cha magamba wameanza kuvaa maguo yao ya kijani baada ya nape kuhutubia mkutano wa hadhara makambako jana, kabla ya hapo walikuwa wanaogopa kuvaa kutokana na kuogopa kuzomewa na...
Mbunge James Mbatia wa CCM C ameapa kuhamasisha bunge kuipinga bajeti ya Waziri Mwakyembe na kuhakikisha waziri huyo anapata shida kwani ni mzushi na amekuwa akiwasingizia wakuu wake kummwagia...
Waandishi Wetu
Toleo la 242
6 Jun 2012
Zanzibar yawatatiza, bajeti kuu ya Serikali mtego mwingine
Mawaziri kukiona cha moto bungeni wakiwasilisha bajeti
Mpambano kati ya CHADEMA, NCCR na CCM...
JF Friends who were there please tell my how this J.K.N's riding was possible in old days but now is regarded as extremely dangerous though in the Holland the practice is still common?
Heshima kwanza!
Binafsi naamini kabisa, suala la amani si jukumu la chama cha siasa pekee bali ni jukumu la watanzania wote. Kwa miaka mingi toka kuanza kwa mfumo wa vyama vingi kumekuwa na...
Ikiwa bado siku 5 kuanza kwa bunge la bajeti, ni masikitiko makubwa kwa wakazi wa majimbo ya
1. Kawe,
2. Mbeya Mjini
3. Hai
4. Nyamagana
5. Ubungo,
6. Singida Mashariki
Wabunge wa majimbo husika...
Wadau,
Gazeti la leo la Tanzania Daima,8/1/2012,limemkariri Dr.Slaa akisema kwamba chama cha Magamba kilitaka kumuhonga mmoja ya wabunge wa CDM mkoa wa Mwanza milion 323/=Tsh ili akihame chama...
Ndugu zangu
Rais wa Zanzibar; DR. MOHAMMED ALI SHENI .
Makamo wa Kwanza wa Rais; Maalim SEIF SHARIF HAMAD.
Kumbukeni Allah S.w amekuteuni kuwa ni viongozi wa kuu, wa Taifa letu la...
Hawa ndio Nape anawaita oil chafu, nina hamu ya kuona Kama CCM mlipata hata mmoja Makambaku juzi.Hapo Raia wakisukumana kununua kadi za CHADEMA juzi pale Masasi
Wabunge kukacha vikao hawawatendei haki wananchi
Soma mwenyewe mimi simo: lau hivyo vikao vya RCC vingekuwa telivised... wasingekosa... si unajua mambo ya usanii... Kweli taifa linaenda mrama...
Wanajamvi kwa pamoja, heshima zenu.
Nimeshwawishika kuandika uzi huu baada ya magazeti mengi ya leo kuandika bajeti ijayo ya 2012/2013 itakuwa 15trl na hapa nalinukuu gazeti la Mwananchi "BAJETI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.