Mbunge wa CCM HAKUPOKEA RUSHWA... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbunge wa CCM HAKUPOKEA RUSHWA...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by VUTA-NKUVUTE, Jun 5, 2012.

 1. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #1
  Jun 5, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 6,608
  Trophy Points: 280
  Mbunge wa Bahi(CCM) Omar Badwel hakupokea rushwa. Kusema Mbunge Badwel amepokea rushwa ni dharau kwa mahakama.
  Dharau hii haivumiliki. Mahakama zetu,hivi sasa,zimeazimia kutenda haki.

  Mbunge Badwel amefikishwa Mahakamani jana na kusomewa mashtaka ya kuomba na kupoke rushwa. Amekuwa akizungumzwa kana kwamba ameshathibitishwa kuwa amepokea rushwa.Hii si haki jamani.

  Kimsingi, baada ya mwenendo mzima wa kesi, Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ndiyo itakayosema kuwa Mbunge Badwel amepokea rushwa au la.Mbunge Badwel anaendelea kuwa Mshtakiwa hadi siku ya hukumu. Mahakama ziheshimiwe kwa utendaji wa haki...
   
 2. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #2
  Jun 5, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,198
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Nakubaliana na wewe mkuu haikuwa rushwa ile ila alipokea Mlungula
   
 3. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #3
  Jun 5, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  sina shaka wewe ni katibu wa mbunge,,,,mwizi na mlafi,,,,,
   
 4. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #4
  Jun 5, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Akili za kushikiwa hizi na Nape!
   
 5. Small Boy

  Small Boy Senior Member

  #5
  Jun 5, 2012
  Joined: Jul 12, 2007
  Messages: 142
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Bila shaka yoyote wewe ndiye Mbunge mwenyewe, usijisafishe hapa mkuu... sasa mahala pa kujisafisha ni mahakamani...
   
 6. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #6
  Jun 5, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Ilikuwa Takrima sio tehe tehe pesa ina majina mengi
   
 7. KOMBESANA

  KOMBESANA JF-Expert Member

  #7
  Jun 5, 2012
  Joined: Jun 18, 2009
  Messages: 862
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  tunashukuru ndugu msomi,na yule aliyempa tumwiteje maana huko mahakamani kazi yenu ni kutuchanganya na kutuibia sometimes
   
 8. KOMBESANA

  KOMBESANA JF-Expert Member

  #8
  Jun 5, 2012
  Joined: Jun 18, 2009
  Messages: 862
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  tena yawezekana hata sehemu wanayosema alienda hajafika toba yarabi!
   
 9. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #9
  Jun 5, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Twambie kama hukupokea RUSHWA alipokea nini? KIPEPE-RUSHWA?
   
 10. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #10
  Jun 5, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,633
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Mkuu VUTA-NKUVUTE mbona TAKUKURU wamesema wana ushahidi wa kutosha inakuwaje wewe unahukumu na kusaema mahakama iachwe iamue? Kusema kwamba mheshimiwa alipokea au hakupokea bila mahakama kuthibitisha unajua kama si sahihi?
  sijakupata bado mi nadhani unaingilia uhuru wa mahakama hapo.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Limbani

  Limbani JF-Expert Member

  #11
  Jun 5, 2012
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 1,441
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Unasumbuka bure hapa, jipangeni na mawakili wenu mukamtetee mahakamani!

  Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
   
 12. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #12
  Jun 5, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 6,608
  Trophy Points: 280
  Mahakama itasema.Tabia hii ikiachwa,itawasumbua hata Makamanda watakapokuwa na kesi Mahakamani. Tusubiri,tusikie
   
 13. Komeo

  Komeo JF-Expert Member

  #13
  Jun 5, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 2,394
  Likes Received: 423
  Trophy Points: 180
  Unajichanganya mwenyewe. Tazama Heading yako, eti Hakupokea rushwa. Sasa wewe nani aliyekupa mamlaka ya Mahakama kumpronounce Mbunge huyo kuwa "Hakupokea" rushwa? Mbona na wewe unaingilia uhuru wa Mahakama? Kama amekuuma sana nenda ukawe shahidi yake Mahakamani. Ama kweli Mkuki ni maalum kwa Nguruwe a.k.a. Noah tu, kwako wewe "binadamu" mchungu!
   
 14. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #14
  Jun 5, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Nenda pale kisutu weka vipaza sauti uyapayuke haya unayoyapayuka. Huku hawakusikii.
   
 15. S

  Sting007 JF-Expert Member

  #15
  Jun 5, 2012
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 275
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Kwa hali hii, mtuhumiwa hatakutwa na kosa.
   
 16. Kaitampunu

  Kaitampunu JF-Expert Member

  #16
  Jun 5, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 1,682
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Ni mjomba wako? Mie naona alipokea bahasha yenye rushwa ndani yake.
   
 17. F

  FJM JF-Expert Member

  #17
  Jun 5, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Mleta mada, pengine maneno sahihi yangekuwa "mbunge wa CCM ameshtakiwa kwa kupokea rushwa, hivyo anakuwa mshtakiwa'. Lakini kusema kuwa hakupokea rushwa tayari ni wewe unakuwa umeota hukum kuwa 'hana mashtaka'. Au hukumu tayari imeshatolewa?
   
 18. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #18
  Jun 5, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 6,608
  Trophy Points: 280
  A person is pressumed innocent until proved guilty...
   
 19. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #19
  Jun 5, 2012
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,178
  Likes Received: 1,182
  Trophy Points: 280
  hiyo ni sunna kwa wana ccm
   
 20. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #20
  Jun 5, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 6,608
  Trophy Points: 280
  Mtu atachuliwa hana hatia hadi ikithibitika vinginevyo...
   
Loading...