The return of CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

The return of CCM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by innocent j, Jun 6, 2012.

 1. i

  innocent j Member

  #1
  Jun 6, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  By the look jinsi CHADEDMA wanavyoendelea na siasa hizi zilizozidi propaganda itawachukua mda sana kufika wanapohitaji.

  Unapohubiri usafi halafu mtu anajivua gamba na hapo hapo anakuwa kamanda mlitakiwa muangalie kwa sababu hao wanaovua gamba hata kwa mfano halisi wa nyoka akisha vua gamba ana rest kwa mda basi wangefanya pale wanapomvua gamba mtu wampe training ili aendane nao.

  CCM wana matatizo ndio kama ambavyo chama chochote kilivyo na matatizo ila kwa hii spidi ya CHADEDMA ina weza isisave their purpose ya ku lead hii nchii

  WASSIRA. M4C INAWEZA KUWA NA MAANA NYINGI HATA MOVEMENT INAWEZA KUWA YA KURUDI NYUMA SIO TUU KWENDA MBELE.
   
 2. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #2
  Jun 6, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  kudadadadadadeki. kumbe na wewe una mawazo hasi. mtakuwa mumenyeshwa kimpumu.
   
 3. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #3
  Jun 6, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mtaongea sana mwaka huu hadi mnaanza na kusaidia point yako kwa falsafa za wassira,pole saaaaaaana
   
 4. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #4
  Jun 6, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,780
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  innocent j. Kama kuna jambo umekosea sana ni kutoa mfano wa Wasira! Huyo jamaa hata wana CCM wenzake wanamdharau! Ni lulu kwa JK kwasababu anaweza tumwa katika ujinga na uchafu wowote bila kutumia ubongo akaenda!!
   
 5. t

  tara Senior Member

  #5
  Jun 7, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 190
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ivi milembe kumejaa?
   
 6. M

  Mbozib JF-Expert Member

  #6
  Jun 7, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 409
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  CDM TUNA WANYOA TU MPAKA KIELEWEKE . Usifikiri sisi ni mazuzu tunaelewa tunacho kifanya banaa!!
   
 7. KASHOROBANA

  KASHOROBANA JF-Expert Member

  #7
  Jun 7, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,249
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 180
  Wajua si lazima tahahira aokote makopo, uyu inocent j bila haibu anarefer mawazo ya wasira, ili toto jinga kabisa na km ningekuwa nimezaa uyu jinga inocent j walai ningemkana, kichwani tahahira hili
   
 8. MTENGETI

  MTENGETI JF-Expert Member

  #8
  Jun 7, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 2,330
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  inrudi kutoka wapi! mumeshindwa kutawala
   
 9. Suzie

  Suzie JF-Expert Member

  #9
  Jun 7, 2012
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 1,264
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Air-condition ilistop ghafla baada ya Tanesco kukorofisha likafungua jicho moja, kkukurupuka likaanzia M4C. Teh teh te teh najifikirisha kwa maneno kwakweli
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. Suzie

  Suzie JF-Expert Member

  #10
  Jun 7, 2012
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 1,264
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Tuondolee utindio wa ubongo mpaka hili unataka calculator? Kwani ukimuona Kamanda mbele yako unafikiria nini zaidi? Ndo ujue gamba gumu kwa gwanda linapukutika. Jifunze kutumia kichwa kufikiri
   
 11. t

  the horse JF-Expert Member

  #11
  Jun 7, 2012
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 578
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  kuna ukweli mwingi katika thread hii....!
   
 12. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #12
  Jun 7, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Uzuri mmoja mkuu waliovua gamba na kujiunga na cdm hawapo kwenye orodha ya mafisadi iliyotolewa na dr. Slaa mwaka 2010 kwahiyo sijaona tatizo hapo
   
 13. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #13
  Jun 7, 2012
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Nimewahi kuuliza kinachotofautisha CDM na CCM ndani ya katiba zao sikupata jibu. Aliyekuwa kiongozi wa CDM hawezi kwenda kuwa kiongozi wa CCM pasipo kuisoma na kuielewa katiba ya CCM; kwa CDM ile linawezakana ndani ya dakika kitu ambacho moyoni mwa mwanachama huyo mpya si kweli
   
 14. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #14
  Jun 7, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Mkuu Umekosa quotation hadi uchukue ya huyu kiumbe alietoroka Gombe kwa mama GOODALL?
   
 15. mdoe

  mdoe JF-Expert Member

  #15
  Jun 7, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 436
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Tuponde weee! Ila kwenye ukweli tuchukue! Ivi leo ikitokea RA au EL wanavua gamba na kulitaka gwanda, wanavalishwa kirahisirahisi? Think big!
   
 16. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #16
  Jun 7, 2012
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,318
  Likes Received: 610
  Trophy Points: 280
  Mkuu, kuhusu lengo la kushika Ikulu, sioni kitakachowazuia 2015. Cha kujiuliza ni kuwa watakapokuwa huko tutapata tunachotarajia toka kwao? Kasi yao inaanza kututia mashaka. Walitusomea orodha ya mafisadi pale Mwembeyanga, na matumaini yetu ilikuwa mafisadi hao wafikishwe mbele ya haki kujibu tuhuma zao za ufisadi, badala yake leo hii tunaambiwa baadhi ya haohao mafisadi wanaambiwa wavue gamba wavae gwanda, what does this mean?
   
 17. S

  SINTO FAHAMU Member

  #17
  Jun 7, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  M4C maana yake Movement4Chaga kuendeleza Chaga Demontrations Movement, sasa watu waischokielewa ni nini?
   
 18. Gwandalized

  Gwandalized JF-Expert Member

  #18
  Jun 7, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 222
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  hili suala kwa ukweli linashangaza mtu akivuliwa gamba anavaa gwanda aaah,mwizi akienda upande wa pili anaoneka yuko poa, na ile statement ya wasira kwamba Chadema inasema imechukua wanachama 10000 wa ccm Arusha wakati anasema CCM wanachama wake wote ARusha hawafiki idadi hiyo,Je ina maana Arusha nzima hakuna ccm hata mmoja Arusha leo?,
  propaganda zingine sio kabisa
  .
   
 19. i

  innocent j Member

  #19
  Jun 7, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hapo unakosea sana unapoanza matusi pindi unapoambiwa ukweli
   
 20. i

  innocent j Member

  #20
  Jun 7, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yani mkuu they make no sense at all, ni propaganda za kitoto kabisa
   
Loading...