NDUGU zetu Wakiristo wanapofanya ibada za kuzika wafu, huwa wana msemo mmoja usemao, ulitoka kwa udongo, utarudi tena kuwa udongo, udongo kwa udongo, na Mungu atakufufua siku ya mwisho...
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akizungumza na Balozi wa Sweeden nchini Tanzania bwana Jennerth Hjelmaker, alipofika Ofisini kwake Migombani kwa ajili ya...
You will obviously agree with me that January is very exceptional in his online engagements. The way he posts, interacts and brings feedback puts him at an edge against the rest. See one of his...
SOURCE: Mwananchi, 5 January 2012 na pia kwenye The Guardians toleo la 02 Jan 2012
Ni KIGOGO wa UVCCM mkoa wa Pwani
Aliwahi kugombea ubunge tiketi ya CCM pwani 20120 akatoswa kwenye kura ya...
Mbunge wa Hai aliwahi kushtakiwa kwenye kamati ya kinga na madaraka ya bunge kwa kauli ya dharau kwa wabunge kuwa bunge ni mchezo wa kuigiza. Sasa kwanini kamati hiyo iachie habari hii kama hii...
Rais Mstaafu anaamini watanzania wana raha sana, kwamba raha waliyonayo watanzania ni nyingi kupita kiasi, anasema sasa ni kama wamevimbia ndio maana wanaongeaongea sana.
Source: TBC Habari...
Chadema nao wana makundi na ndiyo maana walitofautiana na marehemu Chacha Wangwe (aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA) nao wana matatizo katika uongozi, alisema Wassira na kuongeza...
***VIPAUMBELE KATIKA BAJETI YA
KAMBI YA UPINZANIA Katika Bajeti
Mbadala ya 2012/2013***
1. Kuendelea kushinikiza
kupunguzwa kwa misamaha ya
kodi mpaka 1% ya Pato la Taifa.
Hivi sasa...
NAPE:ARDHI IKIMILIKIWA NA WATU BINAFSI WANYONGE WATATAABIKA
Ataka umiliki ardhi uendelee kuwa chini ya serikali
Asema wanapiga hilo ni mabepari
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeendelea...
Katibu mkuu wa CHADEMA Dr Wilbroad Slaa ameelezwa kuwa mpiganaji asiyechoka kutokana na kazi kubwa anayofanya huko kusini tangu CHADEMA ianze operesheni Okoa Kusini wiki moja iliyopita.
Taarifa...
Zao la pamba lililokuwa linategemewa sana katika mikoa ya kanda ya ziwa, liko hatarini kutolimwa kabisa kutokana na serikali kuonekana haiwathamini wakulima wa zao hilo na kuwakumbatia wanunuzi...
Kumekuwepo na hali ya sintofahamu hapa mkoani Iringa katika wilaya ya Iringa vijijini eneo la kijiji cha MGAMA,ambapo wananchi na walimu wa eneo hilo wamekuwa katika hali ngumu inayohusiana na...
HUYU MWESHIMIWA ALITOA SIKU TATU KUOMBWA RADHI NA MWENYEKITI WA BAVICHA NDUGU HECHE LA SIVYO ANGELIPUA BOMU KUHUSU CHADEMA, SASA SIKU ZINAENDA NA HAJATEKELEZA ALICHOSEMA MBELE YA MEDIA MAANA HECHE...
Kuna habari katika Annur ya jana, inayosema kwamba magazeti ya Tanzania Daima na Nipashe yatapandishwa kizimbani kwa uchochezi
Hii ni kutokana kutoa picha ya tukio la Morogoro la Ustadh Juma na...
Kumekuwa na wimbi la mawaziri na viongozi wa taasisi mbali mbali nchini kufanya maamuzi ya kukurupuka kwa lengo la kutaka kujipatia umaarufu na kujihakikishia nafasi za uongozi. Kila tasisi na...
Tanzania's Jakaya Kikwete refused the proposed East African Community anthem saying the song was "too christian".
While other EAC heads of state had no qualms on the tune, Museveni had also...
Wakuu nimeikuta hii kule Mjengwablog, eti Ridhiwani amebariki usalama wa taifa na TAKUKURU wamchunguze.
Swali ni kuwa kumbe huyu asipotaka kuchunguzwa haiwezekani kwani ni mpaka atoe ruhusa?
Kwa...
Salaam kwenu wanabodi! Ni haki yangu naitumia kuweka hapa kwenu great thinkers fikra niionayo juu ya Tanzania baada ya 2015. Binafsi kwa mamlaka ya ujuzi niliopata kwenye falsafa za Karl Max...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.