CCM nao kufanya Mkutano Jangwani jijini Dar Jumamosi hii 09-June-2012..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM nao kufanya Mkutano Jangwani jijini Dar Jumamosi hii 09-June-2012.....

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mzee wa njaa, Jun 4, 2012.

 1. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #1
  Jun 4, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  CCM nao wameamua kufanya mkutano Viwanja vya Jangwani jijini Dar jumapili hii ili kushindana na Chadema, kwani wengi wa wanachama wao wamelalamika sana kuona Chadema imejaza watu sana kwenye mkutano wao wa M4C wiki iliyopita.

  Je, wana JF hili limekaaje la Chama cha Mapinduzi kutaka kushindana na CDM?

  Yasemekana mkutano huo utahutubiwa na Mwenyekiti wa Chama chao yaani J.K mkuu wa nchi.

  Tunaelekea wapi?

  Nawasilisha.
   
 2. K

  Kimbito nyama Senior Member

  #2
  Jun 4, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 157
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimesikia wale wazee wa DSM (isipokuwa IDD SIMBA WA UDA) watakuwepo kwenye huo mkutano kuanzia saa moja asubuhi wakipiga makofi na kucheka kwa sauti kubwa kama sehemu ya mazoezi.
   
 3. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #3
  Jun 4, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 549
  Trophy Points: 280
  Afadhali, sijala wali muda sana.
   
 4. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #4
  Jun 4, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Kuna MALORI mangapi kwenda kusomba watu mikoani kwa ajili ya huo mkutano?? M-agesti hausi yatakavyojaa jijini kati ya tarehe 7 na 14 kwa ajili ya mkutano wa CCM hiyo mwenzenu sipati picha.
   
 5. M

  Molemo JF-Expert Member

  #5
  Jun 4, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Nasikia watasomba watu kwa malori kuanzia asubuhi na mkutano utarushwa na TV zote nchini
   
 6. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #6
  Jun 4, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  habari hii nimeiona kwa 5 channel, waliitoa akina bambo kwenye ze commedy. cc oyee!!!!
   
 7. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #7
  Jun 4, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,897
  Likes Received: 5,359
  Trophy Points: 280
  rushwa kwa watakaosombwa na malori ni shilingi ngapi?
   
 8. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #8
  Jun 4, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  sijui maroli watatoa wapi. yale maroli yalikuwa yanapaki pale jangwani yalishaondolewa. sijui itakuwaje.
  walikuwa wakiwatishia, msipo tubeba mtakuwa hampark hapa.
   
 9. F

  FJM JF-Expert Member

  #9
  Jun 4, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  That proves kwamba CCM hawajui nini cha kufanya sasa wamebakia kuigilizia toka CHADEMA! What a shame?
   
 10. T

  Topetope JF-Expert Member

  #10
  Jun 4, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 273
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Hizo ndizo tabu za mtalaka huwa haishi kujitokeza kila mara anajua utamrudia
   
 11. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #11
  Jun 4, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  nchi inaongozwa na mswahili hii. mtakoma, bado miaka mi3 mbele.
   
 12. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #12
  Jun 4, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,461
  Likes Received: 5,846
  Trophy Points: 280

  [​IMG]
   
 13. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #13
  Jun 4, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  tulianzisha vua gamba vaa gwanda wameiga kwa vua gamba na gwanda vaa uzalendo
  tumefanya mkutano cdm squire nao watafanya hapo hapo na wao wataita waoem squired
  endeleza mambo wanayoiga
   
 14. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #14
  Jun 4, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  ...sahali kuubwa ya ubwabwa kama ule wa Mwigulu Nchemba kule Igunga kwenye jukwaa kuu.

  Yeyote mwenye picha ya ile rushwa ya ubwabwa ilioangushwa kule Igunga akatukolezee hapa ili tuanze kupata picha ya siku ya June 10 ya CCM pale
  CHADEMA SQUARE.


   
 15. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #15
  Jun 4, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Daaahh, Wakuu nimeipenda hii...!!! Safari ni Tandahimba mpaka Jangwani.

   
 16. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #16
  Jun 4, 2012
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Kumbe kufanya mikutano ni exclusive right ya CDM, vyama vingine visifanye.
   
 17. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #17
  Jun 4, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Swali zuri sana hilo. Je la pili nalo lipo au ni hapa hapa mwisho wa reli Kigoma??

   
 18. CHEMPO

  CHEMPO JF-Expert Member

  #18
  Jun 4, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 369
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Chadema mara zote ni kiongozi,,,,wameenda kwenye kambi zao huko kusini naomba ccm waje kanda ya kaskazini wafanye mikutano hasa arusha,,,,,
   
 19. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #19
  Jun 4, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  nasikia maloli ya kuja jangwani yameanza na wutu hamna
   
 20. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #20
  Jun 4, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Wakuu ahsanteni sana kwa habari nzuri kama hii! Itanibidi nifanye booking ya bus mapema maana nipo mbali na Dar ili hiyo siku ya jmosi nifike hapo dar kwenye uwanja wa CHADEMA SQUARE nile wali na pilau vya kutosha maana kuna siku sijapiga kipunga du....
  MAGAMBA YA KOBE OYE............
   
Loading...