CHADEMA kuunguruma Iringa leo!

Apr 29, 2012
81
4
Leo kutakuwa na mkutano wa chama cha CHADEMA hapa mkoani Iringa katika eneo la NYOLOLO na ILEMBULA, viongozi wa CHADEMA Iringa na Njombe watakuwepo kwenye mkutano huo ambao utaanza saa saba kamili (01:00 PM).

Nawaomba watakaokuwepo katika eneo la mkutano watusaidie kupata kila litakalokuwa linajiri huko ili Wana JF wapate news...

SOURCE:EBONY FM asubuhi hii.
 
Ufyetele!!!! hili ndio neno pekee nililojifunza toka redio hii wakati nafanyakazi njombe
 
Amani ya mioyo ya watanzania ipo mikononi mwa CHADEMA. Maana ya Amani ni maendeleo, kama hakuna maendeleo maana yake ni kwamba hakuna amani. Ndugu zetu ccm wanahubiri amani ya ujinga
 
Mzee Nyimbo, leo wapige (yaani tove swe) kwelikweli hao CCM mpaka Lwenge na Kikwete wake wachanganyikiwe. Tunajua vibaraka wao wapo wengi hapo Ilembula na Halali. I wish ningekuwepo.

Mch Msigwa na Wilson, pigeni haswa Nyololo, kishindo chake kifike hadi Maduma na Mtili. Uvumia wake uwafanye Mukama na ile ndugu ya Mungai iliyokimbilia bungeni, zijuuute kuwa viongozi katika magamba.
 
Hakuna kulala mpaka kieleweke

Baraka Boki (MEng, MBA from Duke university)
 
Viva CHADEMA. PEOPLEEEEEEEEEEEEEEEES,,,,,,,,POWERRRR,
Mbona ccm wanayo kazi mwaka huu, kesho wanaanzia jangwani, huko sijui watafika lini?
 
Back
Top Bottom