Ngeleja sasa apozwa machungu ya kuvuliwa uwaziri...

frema120

JF-Expert Member
Jan 1, 2012
5,099
1,337
Kutoka jikoni, mh huyu amepatiwa tender ya kusafisha na kusomba uchafu wote, maeneo yote ya upanga na posta bila ya utaratibu kupitia kampuni yake mpyaaaaaaaa ya usafi, na kutupiliwa mbali kampuni iliyokuwa inafanya kazi hiyo... hongela ngeleja, ingawa utajili ulionao sasa ungekutosha sanaaa

Mungu bariki africa
Mungu bariki Tanzania.
 
Kweli maisha ni kupanda na kushuka, kutoka kula kiyoyozi cha wizara ya madini hadi kuzoa taka maeneo ya upanga na posta...

Nina doubt... Nakushauri ndugu yangu Ngeleja rudi tu kwenye fani uliyosomea ya sheria hizi kazi za kuzoa taka sio hadhi yako kaka.
 
Nina doubt... Nakushauri ndugu yangu Ngeleja rudi tu kwenye fani uliyosomea ya sheria hizi kazi za kuzoa taka sio hadhi yako kaka.
Mkuu jaribu kuelewa, sio Ngeleja anayezoa taka bali kampuni yake itajipatia mamilioni ya shilingi kwa maeneo ya Upanga na posta kuzolewa taka.
 
mimi naona azudi Voda akaendelee kuuza voucher tu kama ilivokuwa awali!!
 
Kweli maisha mzunguko,

Kutoka kutembelea Vx zisizokaa foleni, full kiyoyozi mpaka kuja kushika chepe mtaani Jua kali na kuzoa makombo ya wenzio.

Huyu jamaa soon atauza mjengo wake wa $700,000.00 kwa trend hii.
 
Kweli maisha ni kupanda na kushuka, kutoka kula kiyoyozi cha wizara ya madini hadi kuzoa taka maeneo ya upanga na posta...

Nina doubt... Nakushauri ndugu yangu Ngeleja rudi tu kwenye fani uliyosomea ya sheria hizi kazi za kuzoa taka sio hadhi yako kaka.

Sijawahi mwona Ngereja amefanya jambo lenye maana kwa manufaa ya Taifa letu, sijuii labda amefanya... ila ninachotaka kusemea hapa ni hili la wewe kuona kazi fulani ina hadhi na nyingine haina hadhi..na hapo ndo shida ya umasikini wa watu wengi wa Tanzania eti tunachagua kazi.

Ukipata bahati au fursa ya kutemebea nchi za wenzetu hasa ulaya na marekani sasa hivi na ukawaona watu na kazi wanazofanya utashangaa.

Ndugu yangu muhimu ni pesa inayopatikana kwa njia ya halali....ila kama Ngereja amejipatia hiyo tenda kwa halali mi sioni shida labda kama kapata kishkaji...tumpongeze sana kama ni kwa halali maana kashinda hiyo hali ya wewe unayoona kuwa kazi hii haina hadhi kwa ngereja...anaweza pia fanya kazi yake aliyosomea lakini haimzuii kufanya business kwa halali....
 
hizi dili za kuzoa uchafu zitakua na hela nyingi, nasikia riz na masha yao ni ile ECO inazoa, Mikocheni, mbezi, masaki nafikiri, huyu sasa anapewa upanga, na katikati ya jiji la Dar...halafu watu wanamuonea huruma, hizi akili za kitz, ndiyo maana wanasema wajinga uongozwa na wajanja wanaojifanya wajinga kua sawa na wananchi wao...
mungu ibaraiki tanganyika yetu
 
Hivi kumbe hata kwenye kuzoa taka kuna utapeli, ndio maana jiji uchafu unaongezeka badala ya kupungua. Kwa utaalam wangu wa Operations Management kazi ya kuzoa taka kwa jiji kama Dar hailipi kabisa kwa kuwa utatakiwa kuinvest sana kwenye magari ya kuzolea taka due to foleni. Gari moja linaweza kishia trip mbili tu kwa siku na pia watz hatuna utamaduni wa usafi tunatupa taka hovyo
 
Watapitishia fedha za uchaguzi wa serikali za mitaa na ubunge na uraisi kwenye kampuni hiyo nani asiyejua ngereja mwizi mkubwa kijana mdogo roho ya kishetani ya kuibia taifa waende zao huko
 
Kama ni kweli basi ni metamorphosis mbaya sana kwake

Toyota-Land-Cruiser-Facelift-2012-side-view.jpg

GarbageTruck.jpg
 
Ujasiria mali hauna mipaka, isitoshe maisha kuna kupanda na kushuka.Jipe Moyo utayashinda
 
Italian MAFIA walipobanwa sana na FBI huko USA miaka hiyooo, na hasa mji wa Le Mutuz (New York), basi karibu wote walibadili kazi na kukimbilia kazi kama tatu tu:

1. Kujenga CASINO huko Las Vegas.

2. Kazi za ujenzi.

3. Kuzoa takataka.

Hii ya tatu, amini usiamini ilikuwa ndiyo yenye hela nyingi sana na hubuguzwi na mtu yeyote ile. Ni kazi ambayo hakuna anayeweza kuja kudai wamekulipa zaidi kwani utahakiki vipi taka?

Kazi ya CASINO bado waliendelea kufuatiliwa kwa karibu sana na FBI.
 
Back
Top Bottom