Mpambano wa CHADEMA na CCM uanzie hapa

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Ninavyoamini,uimara wa chama au taasisi fulani hutegemea sana kiongozi au viongozi waliopo hapo.

Ili mtu ajue umahiri wa CHADEMA na CCM aangalie safu ya viongozi wake hasa wale wa ngazi ya juu ambao kimsingi wao ndio chachu na kioo cha mafanikio ya chama.

Hakuna haja ya kuigana kufanya mkutano wa hadhara Jangwani. Kama umezidiwa kwa hili,tafuta mbinu kuzidi kwa lile.

Safu za viongozi wa juu wa CHADEMA na CCM iko hivi:

CHADEMA vs CCM CHEO
Freeman Aikaeli Mbowe Jakaya Mrisho Kikwete-Mwenyekiti
Said Amour Arfi Pius Petro Msekwa-Makamu Mwenyekiti,Bara
Said Issa Mohammed Amani Abed Karume-Makamu Mwenyekiti,Zanzibar
Dr.Wilbrod Peter Slaa Wilson Mukama-Katibu Mkuu
Zitto Zuberi Kabwe George Huruma Mkuchika-Naibu Katibu Mkuu
John John Mnyika Nape Moses Nnauye-Msemaji Mkuu

Tuanzie hapo tuone nani zaidi.

...Safu za viongozi wa juu wa CHADEMA na CCM iko hivi:

CHADEMA vs CCM CHEO
Freeman Aikaeli Mbowe Jakaya Mrisho Kikwete-Mwenyekiti
Said Amour Arfi Pius Petro Msekwa-Makamu Mwenyekiti,Bara
Said Issa Mohammed Amani Abed Karume-Makamu Mwenyekiti,Zanzibar
Dr.Wilbrod Peter Slaa Wilson Mukama-Katibu Mkuu
Zitto Zuberi Kabwe George Huruma Mkuchika-Naibu Katibu Mkuu
John John Mnyika Nape Moses Nnauye-Msemaji Mkuu

Tuanzie hapo tuone nani zaidi...

Hapo mkuu umetoa mpambano mkali sasa wanajamvi wataona ni nani aweza kushika wadhifa uliotajwa.
Mimi nawapigia viongozi wa CHADEMA WOTE naomba utaje vituo vya kupigia kura na muda wa kuanza zoezi, karatasi ziwepo za kutosha ili nianze kupiga kura yangu.
Umefanya kazi nzuri sana HONGERA.
 
Akili kama hizi Mbowe ataendelea kuzitawala hadi atakapomuachia shemeji yake NGO yao.
 
Ninavyoamini,uimara wa chama au taasisi fulani hutegemea sana kiongozi au viongozi waliopo hapo.

Ili mtu ajue umahiri wa CHADEMA na CCM aangalie safu ya viongozi wake hasa wale wa ngazi ya juu ambao kimsingi wao ndio chachu na kioo cha mafanikio ya chama.

Hakuna haja ya kuigana kufanya mkutano wa hadhara Jangwani. Kama umezidiwa kwa hili,tafuta mbinu kuzidi kwa lile.

Safu za viongozi wa juu wa CHADEMA na CCM iko hivi:

CHADEMA vs CCM CHEO
Freeman Aikaeli Mbowe Jakaya Mrisho Kikwete-Mwenyekiti
Said Amour Arfi Pius Petro Msekwa-Makamu Mwenyekiti,Bara
Said Issa Mohammed Amani Abed Karume-Makamu Mwenyekiti,Zanzibar
Dr.Wilbrod Peter Slaa Wilson Mukama-Katibu Mkuu
Zitto Zuberi Kabwe George Huruma Mkuchika-Naibu Katibu Mkuu
John John Mnyika Nape Moses Nnauye-Msemaji Mkuu

Tuanzie hapo tuone nani zaidi.

mkuu hapo ni sawa kumlinganisha Shibuda na Obama.
 
Usipambanishe mlima everest(cdm) na kichuguu(ccm)

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
achana na makamanda wa juu chukulia tu mnyika anatosha kuwakalisha wote hao magamba kwanzia magogoni mpaka makada wa kofia na kanga!
 
Unataka kupambanisha maji taka na maji safi? Jipange mkuuu tena jipange saaaaaaaaaaaaaaaaaana
 
Mkuu mbona unalinganisha bulldozer na Vitz Heche anawatosha viongozi wote wa CCM kwasababu kiongozi mmoja wa CDM ni sawa na viongozi 100 wa CCM
 
unadhani wao hawajipendi? hata kama ningekuwa mie nisingetia pua yangu hapo! yaani ni sawa na uwachukue kina man parkyao, myweather dhidi ya mabondia wanaoingiaga mapambano ya utangulizi hapa Tz wakt kina maneno wanacheza na matumla n.k labda uandae na majeneza tena uje nayo na chepe kwa ajili ya kubebea ubongo!
 
Ninavyoamini,uimara wa chama au taasisi fulani hutegemea sana kiongozi au viongozi waliopo hapo.

Ili mtu ajue umahiri wa CHADEMA na CCM aangalie safu ya viongozi wake hasa wale wa ngazi ya juu ambao kimsingi wao ndio chachu na kioo cha mafanikio ya chama.

Hakuna haja ya kuigana kufanya mkutano wa hadhara Jangwani. Kama umezidiwa kwa hili,tafuta mbinu kuzidi kwa lile.

Safu za viongozi wa juu wa CHADEMA na CCM iko hivi:

CHADEMA vs CCM CHEO
Freeman Aikaeli Mbowe Jakaya Mrisho Kikwete-Mwenyekiti
Said Amour Arfi Pius Petro Msekwa-Makamu Mwenyekiti,Bara
Said Issa Mohammed Amani Abed Karume-Makamu Mwenyekiti,Zanzibar
Dr.Wilbrod Peter Slaa Wilson Mukama-Katibu Mkuu
Zitto Zuberi Kabwe George Huruma Mkuchika-Naibu Katibu Mkuu
John John Mnyika Nape Moses Nnauye-Msemaji Mkuu

Tuanzie hapo tuone nani zaidi.

Livingstone Lusinde vs Godbless Lema:glasses-nerdy:
 
Mkiendelea kuletaleta hoja za namna hii itabidi kuleta sheria kali ya kukataza midahalo ya kuwapambanisha viongozi wa kisiasa. Maana inaweza kuchochea udhalilishwaji wa viongozi wakuu wa nchi.
 
Anna Kilango vs Halima Mdee

Na bado makamanda kama akina Zitto, Lissu n.k hawajapambanishwa!!!
 
Mkiendelea kuletaleta hoja za namna hii itabidi kuleta sheria kali ya kukataza midahalo ya kuwapambanisha viongozi wa kisiasa. Maana inaweza kuchochea udhalilishwaji wa viongozi wakuu wa nchi.

....ha ha ha,mkuu umenichekesha!..kwahiyo unaogopa viongozi wakuu wa nchi kudhalilishwa?...je wenyewe wanavyofanya watu waishi maisha magum tena ya aibu!si kuwadhalilisha wananchi?
 
Back
Top Bottom