CCM wanasambaza barua mkoa mzima kwa wajumbe!

King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
51,643
68,586
Habari Wadau,
Ccm mkoa wa dar wameandaa barua kwenda kwa wajumbe wa nyumba kumi kumi na kuwaambia kila mjumbe ahakikishe anakuja na mobb ya watu 10 kumi na wamewaakikishia usafiri wa kwenda na kurudi jangwani kwenye mkutano Jmos,barua imesisitiza ni muhimu ili wawafunike chadema,nikifika home nitaiscan barua niiweke hapa,Nape waacheni watu waje kwa ridhaa yao na si kuwalazimisha waje+usafiri wa kwenda na kurudi.

Nawasilisha.
 
mkuu hii siyo breaking news maana tunalikua kuwa ccm wangetumia njia hizo..
 
Sioni kama ni issue kutoa mialiko wa watu kuhudhuria. utumiaji wa barua za mialiko ni wa kitaaluma zaidi.
 
Si wasambaze barua hizo kwa mafisadi ili kila fisadi aje na familia yake bila kusahau wakwe zao
 
Bora wangekaa kimya kuliko kujibu mapigo ya M4C! Wataibika kama Nape alivyoaibika huko Njombe!
 
Sioni kama ni issue kutoa mialiko wa watu kuhudhuria. utumiaji wa barua za mialiko ni wa kitaaluma zaidi.

kama mabalozi wa dar na mikoa ya jirani pamoja na familia zao mtawafikia chadema angalau nusu ila tutawaangalia kwenye nyuso zao...vipi itarushwa.
 
ukiwa mkubwa huwezi kukubali kudhalilishwa na mwanao hata siku moja, ni lazima ujitutumue ili kuepuka fedheha! big up chama tawala.
 
mi mwenyewe ningekuwa huko ningehudhuria huo mkutano wao lengo nikujua mapungufu yao sioni shida kwa mwana CDM kuhudhuria mkutano huo kwani ni sawa na mtu aliokoka ki ukweli kweli eti ashawishiwe kirahisi kulewa
 
Back
Top Bottom