KAMPENI zimeanza,WAGOMBEA wa wapi?

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
CCM,kwa matendo yake ya kuweweseka,inaanzisha kesho kampeni za kiuchaguzi, dhidi ya CHADEMA,hapo Jangwani kesho. Wanalenga kujibu mapigo ya M4C. Mabango yao yanaahidi kuanika siri za wapinzani hiyo kesho. Hawakusema zinahusu nini. Kama kampeni za 2015 zimeshaanza,wagombea ni akina nani kwa kila chama? Nani ataibuka kidedea?
 
Back
Top Bottom