Kwanini waarabu wanataka Zanzibar kwa gharama ya watanganyika? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini waarabu wanataka Zanzibar kwa gharama ya watanganyika?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ground Zero, Jun 4, 2012.

 1. Ground Zero

  Ground Zero JF-Expert Member

  #1
  Jun 4, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 342
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi waarabu hawa wana maslahi gani na Zanzibar kiasi cha kutaka kutuharibia amani. Ukiwasikiliza viongozi wa uamsho wengi wanazungumzia misaada kutoka kwa ndugu zao uarabuni. Je huo ukaribu wa waarabu na Wazanzibar hasa wapemba na waarabu unatokana na nini?Hivi mwarabu wa oman ni karibu zaidi kiutamaduni na mpemba kuliko mpemba na mtanganyika wa kigoma?
   
 2. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #2
  Jun 6, 2012
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Uarabu, uunguja , upemba vyote umenena wewe.

  Kinachotakiwa hapo ni haki tu na si dhulma. Kinachotakiwa ni kuweka mambo hadharani na kujitakasa na ulaghai na ujanja ujanja. Kufuata yale makubaliano yenu ya mkataba wenu.

  Usitafute mchawi na kusingizia watu na kuleta ubaguzi wa kikabila na kinasaba.

  Nakupa pole sana.
   
 3. Bumpkin Billionare

  Bumpkin Billionare JF-Expert Member

  #3
  Jun 6, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 1,336
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Si hata wewe upo huko ukiosha vyombo kwa waarabu. Shida ni yale maongezi ya UAMSHO, kwani mnatumiwa na nani vile?
   
 4. a

  abdul 28 JF-Expert Member

  #4
  Jun 6, 2012
  Joined: May 29, 2012
  Messages: 325
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  booooooooooooooh ovyoooooooooooooooooo fitna za watanganyikaaaa boooooooooooooooooooo
   
 5. t

  tpmazembe JF-Expert Member

  #5
  Jun 6, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 2,474
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  SUALA LA KUVUNJA MUUNGANO HALIHITAJI MPAKA MFANYE VURUGU ZOTE HIZO BARABARANI AU MIKUTANO MINGI HIVYO KWANI:
  • znz kikatiba ni nchi,ilibadili katiba na kupiga kura ya maoni ya serikali ya umoja wa kitaifa bila kuomba ruhusa kwenye bunge la muungano.sasa kwa nini msiwaambie wawakilishi mliowachagua wapitishe hoja hiyo?
  • Uamsho ni jumuiya ya kidini kwa nini isiwaambie wale wabunge wote wa znz wa Muungano kusuia vikao,maana wakiongea kama viongozi wa dini sidhani kama watawapuuza
  • Rais kateuwa watu wa tume ya katiba kwa nini msiwaamuru wale wote walioteuliwa kukataa nafasi zao
  • viongozi wakuu kama jaji mkuu wa TZ ,makamu wa raisi na wafanyabiashara kama akina backresa kwa nini msiwaambie wasusie kila kitu warudi znz.
  Mkifanya hayo hakuna mtu atakayewazuia kuondoka,kuliko kukaa barabarani,mikutano isiyoisha ambayo haijulikani sms mnataka imfikie nani.
   
 6. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #6
  Jun 6, 2012
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Kwa mtu yoyote makini na mwenye kufikiri unaona wazi kuna maslahi makubwa sana wanayopata Tanganyika kutokana na huo Muungano.

  Hususan mtu makini anayeweza kuupambanua muungano weno na kuona wazi MUMEUNGANA KIMKATABA NA SI KIKATIBA. Na kama mumeungana kimkataba basi pande zote zina haki sawa kuujadili muungano huo kwa kuangalia maslahi yake kiuchumi , kisiasa na kijamii.

  Znz wanaliona wazi wanadhulumiwa kiuchumi, kisiasa na kijamii na ndio maana wamekuwa wawazi kulisemea hilo na kuamshana ili wazuie dhulma hiyo. Sasa inapotokea waTanganyika kuwazuia basi inajionyesha wazi muna manufaa makubwa mnayoyapata ndanimwe na kwa dhulma zenu dhidi ya Znz na waZnz.

  Kumbukeni dhulma zina mwisho , kama ulivyo uongo. Naona sasa mnabadilisha motion badala ya KUWA WAZNZ WANADAI KURA ZA MAONI KABLA KUJADILI KATIBA MPYA na kuifanya Waznz wavunja makanisa. Kwa mwenye akili haiingi akilini hata kidogo kwa Kwa sie tuliozaliwa na kukulia shanghani Znz tumeliona kanisa katoliki dahali kwa dahali na wakristo wachache waliopo hapo walikuwa wanaabudu hapo bila kubughudhiwa. Iweje leo kama sio propaganda?

  Kila jambo lazima lina ncha na Znz ipo siku itatoka dhidi ya ukoloni wa Tanganyika kwa kisingizio cha Mvungano. oops Muungano.

   
 7. t

  tpmazembe JF-Expert Member

  #7
  Jun 6, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 2,474
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  kwa maana yako mmevunja makanisa kutokana na kutokusikilizwa madai yenu ndio maana sasa yanatokea haya,lakini cha ajabu ni kuwa mmebomoa makanisa tu,hiyo hasira ni kweli mmechoka kutokusikilizwa lakini kwa nini msingechoma tu hata na msikiti,?au jengo la smz ambao hawawasikilizi?
  Je unayajua malengo ya (Jumuiya ya uamsho na mihadhara kwa waislam Zanzibar) hawa ambao ndio wanaendesha movement huko znz lengo kuu namba mbili ni kuhakikisha sheria za nchi znz zinazotumika ni za kiislam,sasa swali linakuja sheria za dini zitatumikaje katika nchi kama nchi ina dini nyingi na kila dini inataratibu zake?ukipata jibu la hili utajua ni kwa nini walifanya walichokifanya.
  Hiyo jumuiya ina blog yao pia ina group facebook ukiandika google utaona blog yao utasoma hayo malengo yao,pia ukiwa facebook ukiandika uitaona group lao liko open utaona pia hizo agenda zao.

  Pamoja na hayo yote bado swala la kuvunja muungano liko chini yenu mna wawakilishi kwa nini wasijadili hili,waambieni waznz wote walioko serikali ya muungano kwanzia makamu wa rais,jaji mkuu,na wengine pamoja na akina bakresa waondoke tanganyika waje znz waendelee na kazi zao waifaidishe znz,pia wale walioteuliwa tume ya katiba waambieni wajitoe.serikali ya muungano sijawahi kusikia imekataa maamuzi ya smz,mlishawahi kufanya wakati mnaunda suk,nani aliwakataza,sasa kwa hili nini kinawashinda kuamua?
   
 8. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #8
  Jun 6, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  wa arabu wanaitaka znz ili waibe nyara za serekali ya bara
   
 9. m

  mpakataji Member

  #9
  Jun 6, 2012
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mikutano na maandamano yafanywe na chadema peke yao ndio sahihi make up ur mind
   
 10. majorbuyoya

  majorbuyoya JF-Expert Member

  #10
  Jun 6, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 1,815
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Hawa wafanya fujo wanachochewa na waarabu kutokana na waarabu wanajua ni rahisi sana kuwachochea wazenji kwa kupitia udini, wazenji na waislamu kwa ujumla wanaamini waarabu kwa kila watakalolisema hata likiwa halina msingi wowote. Nawaombea mjitenge ili baadae mje ku-prove ujinga wenu.
   
 11. MkimbizwaMbio

  MkimbizwaMbio JF-Expert Member

  #11
  Jun 6, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hiki ni kichekesho, Maslahi makubwa kwa ka nchi cha watu wavivu??? Hakuna kitu cha kuwanufaisha wa Bara.
   
 12. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #12
  Jun 6, 2012
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Kama ilivyo wabara na ukristo. Wabara wanaamini sana wazungu ni kwa sababu wakristo wenzao na kila anachofanya muislam kwao kinakuwa zero.

  Na ndio hapo nasema Kikwete anaponzwa na Dini yake na si lingine. Angekuwa mkristo mambo yangekuwa sawa tu kama yalivyopita kwa Nyerere na Mkapa.

  Poleni sana WaDanganyika na Ukristo wenu.
   
 13. Democracy999

  Democracy999 JF-Expert Member

  #13
  Jun 6, 2012
  Joined: May 26, 2012
  Messages: 947
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wakati kisiwa kinakombolewa wazanzibari wengi walikuwa watumwa, kwa hiyo hawana uchungu wowote wala uelewa wowote wa nini kitatokea wakirudi
   
 14. majorbuyoya

  majorbuyoya JF-Expert Member

  #14
  Jun 6, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 1,815
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  ukiachana na kusumbuliwa na udini, pia mna matatizo makubwa sana ndani ya vichwa vyenu.......... Inferiority complex ni ugonjwa hatari ambao unawasumbua ni heri anayeugua ugonjwa wa Ukimwi kuliko huo unaowasumbua watoto wa mama mdogo.
   
 15. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #15
  Jun 6, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kwanini mwarabu ashindwe kumsaidia msenji bila kuvunja muungano kwani msaada hautamfikia bila kuvunja muungano?
   
 16. m

  majebere JF-Expert Member

  #16
  Jun 6, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 4,520
  Likes Received: 567
  Trophy Points: 280
  wakati wa utawala wa kiarabu, makanisa mbona hayakuchomwa? tena mengi yalijengwa. Msitake kulaumu warabu, waznj wanatak nchi yao, sasa sisi tuamue moja, tuwape au tuonyeshe ubabe.
   
 17. k

  kombo1 Member

  #17
  Jun 6, 2012
  Joined: May 27, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unajaribu kuwapotesha watu, Zanzibar kudai uhuru na utaifa wake hauna ubaguzi, sisi sote tuko pamoja na sioni tatizo wananchi kuomba kura ya maoni kuhusu muungano. Muungano huu haukuandikwa katika biblia au kurani kushindikana kuufuta na sioni kwa nini upande wa bara wanatupinga kila tunapo fikiria fikira hii hata wanachukua hatuwa ya kuwafukuza viongozi wetu wa vyeo mbali mbali hata kumfukuza kazi Rais Aboud Jumbe. Tafadhali angalia hii video ili ujifunze zaidi matokeo yaliyotupata mpaka hapa tulipofika.

  Video:Kwanini tusiirejeshe jamhuri ya watu wa Zanzibar? | Mzalendo.net
   
 18. I

  IPECACUANHA JF-Expert Member

  #18
  Jun 6, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 2,125
  Likes Received: 290
  Trophy Points: 180
  Ni ukweli usiofichika kwamba sultani wa Oman alitawala na kuvimiliki visiwa vya Zanzibar. Ni ukweli pia bado kuna hisia kali tu kwamba muungano ndio unaochelewesha kuvirudisha visiwa hivyo kwa "Wenyewe". Na kwa jinsi jamii ya Zanzibar ilivyo athirika na Umaskini, Uvivu, Ushoga, Ujinga na Uteja hata mimi naamini kwamba vunja muungano kesho mtu mwenye sura na mavazi kama ya AVATAR yako atakalia kiti cha utawala Zanzibar.
   
 19. m

  majebere JF-Expert Member

  #19
  Jun 6, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 4,520
  Likes Received: 567
  Trophy Points: 280
  wapi kuna waislamu wengi, Zanzibar au Tanzania? Achana na Udini ndugu lasivyo point zako zingine zote zitaonekana hazina maana.
   
 20. m

  majebere JF-Expert Member

  #20
  Jun 6, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 4,520
  Likes Received: 567
  Trophy Points: 280
  Hakuna mwarabu anaeitaka Zanzibar, je wewe unajua leo hii wakiichukua ZNZ basi waznj wote watahamia uarabuni? Unao waita warabu ni wazanzibari wanaoishi Oman. Na pia Oman na Zanzibar ilisha tengana zamani sana kabla hata ya Mapinduzi.
   
Loading...