mbwembwe za kanda ya ziwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mbwembwe za kanda ya ziwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by petrol, Jun 8, 2012.

 1. p

  petrol JF-Expert Member

  #1
  Jun 8, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 322
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 45
  huwa nasikia watu wakijidai kuwa kanda ya ziwa ndiyo mhimili wa siasa za Tanzania. bila kuungwa mkono na kanda hiyo kupata urais au kushinda nafasi kwenye vikao vya cc na nec ya ccm ni ndoto. wengine wanasema hiyo siyo kweli, ni majigambo tu ya watu kutoka huko ili nao waonekane mashuhuri. pengine kanda ya kusini ndiyo yenye nguvu kubwa kisiasa kwa kuangalia idadi ya mawaziri wazito kwenye baraz ala mawaziri. anayebisha tazama mwananchi ya leo. wino umekolezwa. atakayechangia asilete hoja za ujimbo, ukabila au udini. Jaribu kujikita kwenye misingi ya siasa
  [TABLE="class: contentpaneopen"]
  [TR]
  [TD="class: contentheading"]M4C MIKOA YA KUSINI:Moto wa Chadema wawatisha mawaziri [/TD]
  [TD="class: buttonheading, width: 100%, align: right"] Send to a friend [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [TABLE="class: contentpaneopen"]
  [TR]
  [TD="class: createdate"] Thursday, 07 June 2012 19:58 [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD] 0digg

  [​IMG]


  MKUCHIKA, GHASIA, CHIKAWE NA MEMBE WAENDA KUUZIMA, CCM KUJIPIMA NGUVU JANGWANI KESHO
  Geofrey NyangÂ’oro, Mchinga
  VUGUVUGU la Mabadiliko (M4C) linaloendeshwa na Chadema katika mikoa ya Lindi na Mtwara, limewatisha mawaziri wanne wanaotoka katika mikoa hiyo, ambao wamelazimika kurejea majimboni mwao kusafisha hali ya hewa.

  Mawaziri waliorejea majimboni kufanya kilichoelezwa ni shughuli za kiserikali ni pamoja Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Utawala Bora), George Mkuchika, Waziri wa Sheria na Katiba, Mathias Chikawe na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe.
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 2. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #2
  Jun 8, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  wasukuma walikuwa busy kuchunga ngombe ila kwasas wameamka usipime ndiyo kanda inayoongoza kuwa na wabunge wa upinzani....
   
 3. u

  umumura Member

  #3
  Jun 8, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 72
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Nao (Chadema) wakamshinda (CCM) kwa damu ya Mwana-Kondoo,na kwa neno la ushuhuda wao;ambao hawakupenda maisha yao hata kufa.Kwa hiyo shangalieni enyi mbingu,nanyi mkaao humo_Ole wa nchi na bahari! kwa maana yule Ibilisi (CCM) ameshuka kwenu mwenye ghadhabu nyingi,AKIJUA YA KUWA ANA WAKATI MCHAHCE TU.
   
 4. f

  fikirikwanza JF-Expert Member

  #4
  Jun 8, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 5,935
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Maskini ndiye hukomboa nchi, lakini umaskini ukizidi sana maskini hukomboa tumbo lake kwanza, kanda ya ziwa hakuna njaa kali kama hukooooooooooooooooo kwingine. Masikini wa kanda ya ziwa/kasikazini asipokomboa TZ, ukombozi hakuna tena.
   
Loading...