Ndege ya Rais | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ndege ya Rais

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ha ha ha, Jun 8, 2012.

 1. ha ha ha

  ha ha ha JF-Expert Member

  #1
  Jun 8, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 641
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wadau habari!

  Kiukweli hoja ya ndege ya rais ni ya mda kidogo. Lakini leo katika pitapita za hapa na pale jamaa zangu ikaibuka tena.

  Baadhi wakadai kuwa ni cheap kwa rais kuwa na ndege yake kuliko kutumia ndege nyingine. Kiukeli wengi kati ya

  waliokuwa kwenye mabishano hayo hawakuwa na data za kutosha juu ya faida na hasara au gharama/ughali wa ndege

  hiyo. Ndo kisa cha kuja na uzi huu ili wataalamu na wenye ujuzi walioko humu jamvini watujuze.

  Je, kuna namna nafuu ya usafiri wa rais?

  Je, ni marais wote wana ndege?

  Gharama za ndege 'yetu' ikoje?

  Karibuni.
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Jun 8, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,033
  Trophy Points: 280
  ipi sasa....gulfstream, fokker au zote....?
   
 3. ha ha ha

  ha ha ha JF-Expert Member

  #3
  Jun 8, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 641
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  gulfstream coz naskia fokker haitumiwi na mheshimiwa
   
 4. ha ha ha

  ha ha ha JF-Expert Member

  #4
  Jun 8, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 641
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ikibidi tupia zote mkuu!
   
 5. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #5
  Jun 8, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Rais wa malawi kauza ndege ya Rais nchini mwake...ni cheaper kutumia ndege za kawaida...sema viongozi wetu hawatataka hicho kitu tunawajua
   
Loading...