Magamba acheni kudesa kwa magwanda kila kitu!

Chaimaharage

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
211
78
Nimepokea kwa mshangao kitendo cha kuandaa mkutano viwanja vya Jangwani kwa mujibu wa tangazo nililo liona pale chuo kikuu udsm. Tangazo hilo pamoja na mwaliko linasema kwamba hata usafiri utakuwepo kuanzia saa 6. Yaani magamba mmekosa mbinu mbadala za kupambana na CDM mpaka muanze kuiga kila wanacho kifanya? siku zote mlikuwa wapi kufanya hiyo mikutano ya hadhara? Sababu tumezoea kusikia viongozi wanafanya vikao na kutoa maamuzi tu. Kama kweli mnataka uhai huyo katibu wenu mwenezi mbadilisheni haraka
 
Back
Top Bottom