Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Habari ndo hiyo kaa mkao wakula Ilianza hivi Ikaja hivi Ikaja hivi akaanza kuwa mpweke cdm inamtenga Mara ikawa Hivi Shibuda akiwa dodoma na JK Mara ikawa hivi Sasa...
0 Reactions
83 Replies
7K Views
Kwanza naendelea kusisitiza kuwa MR CHIZI hauhisiki na kuiingizia hasara billion 69 serikali ambazo ni pesa za kitanzania, kwa kuingia mkataba na ndege ya AB320 ijulikanayo kama AIRBUS ambayo...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Binafsi kutokana na hali ya ukiukwaji haki za binadamu na udhalimu unaoendelezwa hapa nchini kwetu napendekeza ocampo wa mahakama ya uhalifu wa kivita na haki za binadamu aje tanzania ili apambane...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa wale wanaokumbuka usumbufu na taabu tuliyopata madaktari walipogoma mapema mwaka huu naamini leo mna hamu kujua katakachojiri.Meza ya majadiliano kati ya docs na serikali imekuwa ya usiri mno...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mi sijui niseme nipo nyuma ya ratiba, Hakika Mi sijui. Naombeni mwenye majibu sawia anijuze tu! Ratiba ya Katiba huku Mikoani inawafikiaje walengwa? Mi ningependa kumwona kila mtu anajaji na...
0 Reactions
0 Replies
828 Views
tumesikia kwenye vyombo vya habari kuwa mawaziri wapatao watano wamerejea majimboni kwao huko mikoa ya kusini kwa kile kinachoelezwa kuwa kufuta nyayo za chadema katika majimbo yao.mimi nadhani...
0 Reactions
1 Replies
947 Views
Wakuu habari, Nikifuatilia minadala mbalimbali haya uhusuyo Muungano au maendeleo na umaskini wa Mtanzania huwezi kutaja bila kumuhusisha Nyerere. Napenda kufahamu; Mapungufu ya Nyerere...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Chama cha mapinduzi kitatumia mbinu ya kujijengea imani kwa wananchi kwa kuwatumia mawaziri watendaji kazi wasio na kashfa kama akina Magufuli ili kupangua hoja za CHADEMA katika harakati za...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Kesho ccm watakuwa na mkutano wao pale jangwani sasa sijui wataanikeje. Maoni waandike Vua gwanda vaa Gamba
0 Reactions
44 Replies
5K Views
CHADEMA hawakutoa usafiri watu walikuja wenye. CCM wanatoa usafiri Dar es salaam na mikoani bure. Je ni chama gani kinapendwa kati ya kile kinachotoa usafiri bure na kile ambacho watu wanajilipia...
1 Reactions
28 Replies
4K Views
Ni uongozi mbovu au duni unaogopa kuamua au kutekeleza mambo yaliyokwisha kuamuliwa (Edward M.Sokoine, march.1983) Ndugu wana jf,nimemua kuanza na nukuu ya Sokoine ili tuweze kupima...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Hii ni kauli ya Ridhiwani Kikwete katika group ya Chadema vs ccm "Kwa matokeo haya , sio kweli kuamini kuwa wapinzani wetu wanapanda, ila ni sahihi kujiangalia na kujiuliza kwa nini tumeshuka?"
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Baada ya mkutano mkubwa uliohutubiwa na Makada wa CHADEMA, Kunti Yusuph, Josephat Isango, Mh. Anthony Komu na Mwenyekiti wa bodi ya wadhamini Mzee Silvesta Masinde, Waziri wa Maliasili na utalii...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Cdm ni chama ambacho kimetokea kupendwa na wananchi wengi hasa vijana na wasomi wengi hivyo kuaminika kuwa huwenda ndio chama pekee chenye wasomi wengi kuliko chama chochote tz na kimekuwa tishio...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari ndio hiyo Watanzania wote wataona live kutoka jagwani Mkutano wa ccm jagwani utaoneshwa moja kwa moja kutuka TBC na clouds TV Bado Mzungumzo:A S 100: na vyombo vingine vya habari...
0 Reactions
73 Replies
6K Views
  • Closed
Wanataka ndani ya siku saba serikali ya CCM iwe imefanya haya: 1. Ndarichako awe amejiuzulu 2. Uwiano wa wafanyakazi wa NECTA kati ya Wakristo na waislam 3. Kuundwa tume huru kuchunguza...
0 Reactions
89 Replies
9K Views
Chama cha makonda mkoa wa Dar-s-salaam (CHACHAMADA) na baadhi ya wamiliki wa mabus hayo ya usafiri ndani ya jiji la Dar wamekutana leo alfajiri somewhere(secret meeting) na kwa pamoja wameridhia...
3 Reactions
82 Replies
7K Views
Siri nzito ya machafuko yanayoendelea mjini hapa, imefichuka. Habari za kuaminika zilizopatikana jana kutoka Zanzibar, zinasema kuna kundi kubwa la wafanyabiashara wa Kizanzibari wanaoishi katika...
0 Reactions
64 Replies
8K Views
Na Jumbe Ismailly, Singida MBUNGE wa Iramba Magharibi, Mwigulu Nchemba (CCM) anatarajia kuwasilisha hoja binafsi katika Bunge lijalo la bajeti kupendekeza kuanzishwa kwa Baraza Maalumu la...
0 Reactions
31 Replies
2K Views
MKUCHIKA, GHASIA, CHIKAWE NA MEMBE WAENDA KUUZIMA, CCM KUJIPIMA NGUVU JANGWANI KESHO Geofrey Nyang'oro, Mchinga | Mwananchi VUGUVUGU la Mabadiliko (M4C) linaloendeshwa na Chadema katika mikoa ya...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…