Shibuda kurudisha kadi ya chadema kesho

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
Habari ndo hiyo kaa mkao wakula

Ilianza hivi

images



Ikaja hivi

images


Ikaja hivi akaanza kuwa mpweke cdm inamtenga



1.jpg



Mara ikawa Hivi Shibuda akiwa dodoma na JK

images



Mara ikawa hivi

d10.jpg







Sasa kesho anarudisha kadi ya cdm


Mnakaribishwa nyote kumuona Shujaa shibuda akimwaga sera za kutoka cdm:A S 100::majani7:
 
Alisema lazima awe rais 2015; sasa atafanya hivyo akiwa CCM? hawezi kufanya fujo hizo CCM
 
Anaweza kurudisha kazi maaana yeye yuko kazini,ana kazi kuvuruga CDM sio bure!yote yawezekana ati
 
Habari ndo hiyo kaa mkao wakula

Ilianza hivi

images



Ikaja hivi

images


Ikaja hivi akaanza kuwa mpweke cdm inamtenga



1.jpg



Mara ikawa Hivi Shibuda akiwa dodoma na JK

images



Mara ikawa hivi

d10.jpg







Sasa kesho anarudisha kadi ya cdm


Mnakaribishwa nyote kumuona Shujaa shibuda akimwaga sera za kutoka cdm:A S 100::majani7:

Kosa lako umemshtua ndege wa watu, hatarudisha tena believe me!
 
Labda imeonekana ameshindwa kazi.. Badala ya kubomoa ndo watanzania wanavyozidi kupata hamasa ya ukombozi..
 
Shibuda msimlazimishe awe asivokuwa. Raha ya Shibuda ni kuongea. Msimnyime hiyo raha kila kitu kwake ni mzaha na ndo mtaji wake kisiasa. Jifunzeni kukaa na watu tofauti. Kwani akisema nakuwa Rahis ndo anakuwa mbona mnapanikishwa na vitu vidogo. Mmesahau somo la Mwalimu Nyerere juu ya kuacha watu wafanye vituko vyao maana umma utaamua wenyewe. Ilikuwa hivi: wakati watu wanapagawa kumsukuma Mrema by then, polisi walikuwa wanatawanya wafuasi wa Mrema kwa madai eti wanamzuia kujipa umaarufu. Nyerere aliiishauri Serikali hivi, waacheni watu kama wanataka kumbeba mtu hata wakapokezana kama wanabeba maiti nyie waacheni. Kwa hiyo kama Shibuda anaongea pumba au ana payuka mwacheni si wananchi wataamua. Ra sivyo tutaamini mnamuonea kama anavodai.
 
Kwa kuwa Shibuda hana effect kwa CDM kurudisha kwake kadi itakuwa ni big boost kwa CDM. Lakini pia kwa kitendo cha kurudisha atakuwa ameutema ubunge mwenyewe. Yaani kesi yake itakuwa ni tofauti na Kafulula au Hamad Rashid. Ukizingakuwa kuwa kipindi cha Ujira wa Mwiha kinakaribia sidhani kama hii statement ina ukweli.

Kitu pekee ninachoweza kusema Shibuda anaweza kufanya ni kupanda jukwaani kesho kuishutumu CDM kwa force alegations, maana kama ulivyosemwa ametengwa ni dhaniri kuwa hana access to classified information za CDM. Otherwise I cannot see credibility of this thread
 
ee mungu baba nakuomba uingize hili wazo kichwani kwa shibuda na kama lipo tunaomba utusaidie kuligandisha huko mpaka kesho saa 12.
aamen.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom