Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nape leo ametoa jina jipya kwa wanaohama ccm kuwa ni vinyago na vinyago haviwezi kuwatisha hilo ni jina la pili ndani ya wiki moja baada ya kuwaita kuwa ni Oil chafu ametoa kauli hiyo alipokuwa...
1 Reactions
99 Replies
9K Views
baada ya kumaliza vurugu huko Zanzibar, magazeti yote yalielekeza macho na kalamu yao huku TZBARA. ukiangalia magazeti mengi, harakati za taasisi za Kiislam kama BAKWATA na jumuia za kiislam...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Kauli mbiu ya 'Vua Gamba, Vua Gwanda, Vaa Uzalendo' kwangu mimi naona inaleta utata hata haileweki na nadhani inajichanganya na kujipinga yenyewe. Nakubaliana kwa asili mia moja na kauli ya 'Vua...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Kufuatia Wizara ya Maji kukaa kimya bila kujibu barua toka Ofisi ya Mbunge kwa zaidi ya mwaka mmoja, nimeamua kuchukua hatua za kibunge kwa kuwasilisha kwa Katibu wa Bunge, taarifa na maelezo ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
  • Closed
Tayari maandalizi yameanza. yataanzia viwanja mbali mbali na kumalizia kidongo Chekundu ambapo viongozi wa kiislam watahutubia kwa kueleza jinsi ya baraza hilo lilivyokuwa kikwazo wa wanafunzi wa...
0 Reactions
134 Replies
14K Views
Hatimaye M4C - Vua Gamba Vaa Gwanda itatua Dar leo mashabiki na wapenzi wa CDM Vyuo vikuu MLIMANI, ARDHI, IMF, TIA, MWL NYERERE MEMORIAL, TUMAINI, KIU, MUHIMBILI Sote tujivute tuungane pamoja...
23 Reactions
644 Replies
52K Views
Na Jabir Idrissa - Imechapwa 06 June 2012 CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Wananchi (CUF) vimeanza kufarakana; na serikali yao ya pamoja inaweza kusambaratika wakati wowote, MwanaHALISI...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Uwajibikaji ndani ya taifa letu umekuwa msamiati kubwa,hii yote ni kutokana na sera mbovu za kulindana kimaslahi kutokana na kila idara kujaa wanamtandao.Wanamtandao hawa ndiyo wanao sababisha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani ndugu zangu wapendwa wa JamiiForum.. Nimejaribu kusikia japo kwa ufupi tu na kuamua kuzima TV kwani kauli za Magufuli zimenikwaza!!! Hivi barabara zinazojengwa Tanzania kwa misaada toka kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
ASEMA WANAOUNUNG'UNIKA WAKO HURU KUJIONDOA Fidelis Butahe | Mwananchi | 7 June, 2012 SIKU nne baada ya kung'olewa aliyekuwa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), Paul...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mkutano huu sioni kama una mantiki kubwa kama nilivyotarajia, zaidi ya kile nilichosema awali, show-off dhidi ya CHADEMA, na kukurupuka pale unaposikia hoja za upinzani kiasi cha kuji-contradict...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Taarifa nilizopata ni kwamba ccm wameandaa watu kwa ajili ya kurudisha kadi za chadema ili ionekane chadema haikubaliki kwa sana source: mjumbe wa nyumba wa nyumba kumi ambaye ni jirani yangu...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Taarifa zilizofika dawatini sasa, baadhi ya viongozi Wa Mashina wa CCM,wametishia kususia mkutano wa kesho viwanja vya Jangwani ndani ya Jiji la DSM. Viongozi Hao ambao wanalalamika kwamba...
8 Reactions
50 Replies
4K Views
  • Closed
Jangwani kungechangamka kama Shibuda angerudia CCM leo. Kama mkutano huo ulipangwa mapema kabla ya ule wa Chadema, basi Chadema wangefanya papara kuhusu Shibuda mkutano huo lingekuwa tunda lake...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Wadau, Kuthibitisha tu kwamba even our mashirika ya umma na public firms ziko kisiasa zaidi, leo umeme hautazimika hata iweje nchi nzima ili kupisha propaganda za chama tawala. it is more likely...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Katika Taarifa ya Habari ya TBC1 ya saa 2 usiku huu, Bwana Nape Nnauye akiwa Songea anaonekana akimwagiza "rafiki yake" Waziri wa Ujenzi Mh. Dr. John Maghufuli aende Songea akakague ujenzi wa...
1 Reactions
39 Replies
4K Views
dr slaa akiwa lindi wakati mwenezi wa magamba akiwa songea
2 Reactions
30 Replies
3K Views
  • Closed
“Ndugu Wananchi; Napenda kutumia nafasi hii kutoa pongezi na shukrani nyingi kwa ndugu zetu wa Arusha kwa kuwapokea vizuri na kuwakarimu vyema wageni wetu hao. Nawaomba waendelee na moyo huo...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
  • Closed
Wanabodi nipo mbagala maeneo ya kizuiani ile kampeni jaza uwanja imeanza gari lenye vipaaza sauti linasumbua wananchi Wana lalamika huu ni muda wa kazi wao hamasisha jangwani mbona mbona Hawawi...
1 Reactions
78 Replies
6K Views
Baada ya kutokea machafuko huko Zanzibar, UVCCM iliwashukia waislam na kutaka wachukuliwe hatua kali. Huku Bara kuna madai ya Vijana wanaosema wameonewa na NECTA. wanaotaka Baraza hilo lifumiliwe...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…