Kwa majonzi makubwa tumemwaga kitaifa mpendwa wetu Bob Makani (rip). Ameagwa kitaifa kwa sababu amelitumikia taifa letu kwa uzalendo wa hali ya juu.
Nimesikitishwa sana kwa kitendo cha CHADEMA...
WIKI 3 Zilizopita ilitawaliwa na vurugu zilizoibuka Zanzibar Mei 27, mwaka huu baada ya watu wanaodaiwa kuwa washirika wa Jumuia ya Mihadhara ya Kiislamu (Jamiki) kuchoma makanisa kisiwani Unguja...
Siku ya jumamosi tarehe 09.06.2012 CCM (M) Dar es salaam ulifanya mkutano wake wa kihistoria ulio hudhuriwa na maelfu lukuki ya watu. Ila katika siku hiyo sikupendezewa na mambo yafuatayo ambayo...
Sehenleed.. *!!
Watu wapitao jamvini, watu makini walao chakula cha maneno hapa kwenye jamvi hili makini, sehenleed!!
Chama chetu CCM, kinaweza kuingia kwenye orodha ya vyama Katili vilivyowahi...
Profesa Mwesiga Baregu(CDM) ni mwenyeji wa Muleba. Mimi kama mfuatiliaji mzuri wa siasa za muleba, ninamshauri agombee jimbo la Muleba Kusini la Prof Tibaijuka(CCM) mwaka 2015, kwani wana muleb...
Waislamu Tunadai nini Kwenye Katiba Mpya?Waislamu sehemu mbali mbali nchini wamekuwa wakiliuliza Jukwaa kuhusu ni yepi madai ya waislamu katika utoaji maoni yatakayokusanywa na tume? Yafuatayo...
Leo Bunge la Bajeti kwa mwaka 2012/2013 linaanza mjini Dodoma.
Tutarajie nini kipya? Kodi kupanda za Vinywaji kama kawaida yao taifa linaloendeshwa kwa kodi za Pombe na starehe!
Mishahara...
Mkiti wa ccm kata ya Ngokolo mkoa wa Shinyanga amejiuzulu huku akikutuhumu CCM kuwa kimezidiwa na makundi yanayokiathiri chama hicho.
Ogweno amesema amejiuzulu kwa sababu Chama hicho...
Heshima kwenu wana JF.
Jana J'pili 10/06/12 Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA jimbo la Ukonga kilifanya mkutano mkubwa wa hadhara ktk tawi la Pugu Kigogo Fresh ktk kata ya Pugu...
Na Alfred Lucas - Imechapwa 16 May 2012
MARAFIKI sita wa Ridhiwani Kikwete, yule mtoto wa rais, wameteuliwa kuwa wakuu wa wilaya (ma-DC), MwanaHALISI limeambiwa.
Wanaotajwa kuwa marafiki wa...
Leo katika harakati zangu za kimaisha nimebahatika kukutana na mmoja ya wajumbe wa Tume ya Katiba,kwa kuwa tunajuana na tunafahamiana uzuri, Tukasalimiana na kuulizana hali na baada ya salam...
Ilianza kama utani lakini sasa imefikia hatua ya kupewa nafasi ya juu kama hoja ya kisiasa, kwamba matatizo ya kiuchumi tunayopitia sasa watanzania yako nje ya uwezo wa serikali yetu sababu yako...
Kitendo cha kukaa kimya wakati mbunge wenu amepokea rushwa na kukamatwa Live na PCCB kinatia aibu chama.
Nape ukiwa Songea uliwaambia vijana wa huko kuwakamata wala rushwa ndani ya chama...
Nakulilia Bob Nyanga Makani! Kuna wanasiasa wengi lakini Mzee Makani ni wa aina ya pekee! Kuna wanasheria wengi lakini si wa aina ya Bob Makani!
Umepambana kuhakikisha siasa za Tanzania hasa za...
CCM yazidi kubomoka Ngara; jembe jingine lahamia CHADEMA
Katika hali inayoonesha kuendelea kufa taratibu kwa chama cha mapinduzi, Jumapili wiki iliyopita (10/6/2012) kulifanyika mikutano mikubwa...
Jambo ambalo CCM na CHADEMA kimsingi wanakubaliana ni kuwa Magamba yapo na sharti yavuliwe vyma vyote vinakiri hili suala. Muda wote napata taabu sana kwa nini CCM hawajawavua magamba hawa watu...
Kazi kubwa iliyeko mbele yetu wana-mapinduzi wananchi wa Tanzania kwa uwingi wetu na sehemu mbali mbali za nchi yetu nzuri yenye rutuba, maziwa, wanayama, madini na viongozi wabovu ni kuelimishana...
Je Wazanzibari wanakubaliana kuwa mzee Karume alikuwa ni shujaa wao? Anakumbukwa kwa yepi mazuri ambayo wananchi wa Zanzibar wanaweza kuona fahari kuwa aliwahi kuwa Rais wao? Yawezekana bado wapo...