Nape, Mwigulu mvueni GAMBA mbunge wa Bahi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape, Mwigulu mvueni GAMBA mbunge wa Bahi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ulukolokwitanga, Jun 12, 2012.

 1. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #1
  Jun 12, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Kitendo cha kukaa kimya wakati mbunge wenu amepokea rushwa na kukamatwa Live na PCCB kinatia aibu chama.

  Nape ukiwa Songea uliwaambia vijana wa huko kuwakamata wala rushwa ndani ya chama. Mwigulu LN Nchemba umejinasibu kupeleka hoja binafsi bungeni kuanzishwa baraza maalum kushugulikia rushwa na ufisadi.

  Je hamuoni kwamba hizo sanaa zenu zinawatia aibu kwa kushindwa kushugulikia suala la Badwel kichama? Je kujivua gamba ni sanaa iliyowalenga watu wachache, mbona huyu aliyekamatwa mchana kweupe anadunda na leo ataingia bungeni kutafuna kodi zetu kwa posho?

  Bunge limeamua kumlinda na chama chenu kinamlinda lakini hukumu ya rushwa mnazoendekeza ndani ya ccm yenu tutatoa wananchi kama nyie hamchukui hatua
   
 2. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #2
  Jun 12, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Mkuu kwenye mambo ya rushwa ccm wamkamate nani na nani aachwe? Wote ni wala rushwa hakuna msafi ndo maana huwa tunasema hata wapinzani ni wachafu! unawapa mtiani mgumu wenzio ambao hata kama ungekuwa wewe ungekushinda.
   
 3. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #3
  Jun 12, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Hii ndio nafasi yao kuonyesha kuwa kwenye mambo ya rushwa wanaanza kuwa serious. Maana jamaa anatinga bungeni kama hakuna kilichotokea na kesi itaanza kupigwa kalenda. Ya rada wanasema uchunguzi umewashinda, hata mla rushwa ya Milion moja anawashinda. Sasa naamini rushwa na ccm ni damdam kama Nnauye Jr hataonyesha makucha yake. Na vijana wa Songea itabidi wampuuze
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Jun 12, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,437
  Likes Received: 19,798
  Trophy Points: 280
  hawawezi hawa.. hio kesi yenyewe itanyumbulishwa na mwishowe utasikia tu MHESHIMIWA HAKULA RUSHWA
   
 5. M

  Mahunguchila Member

  #5
  Jun 12, 2012
  Joined: Jun 11, 2012
  Messages: 74
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Aisee huyu mbunge kajiaibisha sana, yani rushwa ya milioni moja?
   
 6. w

  wikolo JF-Expert Member

  #6
  Jun 12, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 801
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Wanayoyasema hao waheshimiwa kuhusu rushwa huwa hayatoki moyoni bali mdomoni. Kama yangekuwa yanatoka mioyoni mwao, sidhani kama walikuwa wanahitaji kukumbushwa ili wachukue hatua.
   
 7. e

  ebaeban JF-Expert Member

  #7
  Jun 12, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 1,834
  Likes Received: 600
  Trophy Points: 280
  Yule mwalimu wa lindi kafungwa miaka 300, lakini CHENGE na huyu Mbunge wa bahi Mh. Badwell wanatinga tu bungeni, pole sana Napelepele.
   
 8. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #8
  Jun 12, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Hivi jamaa kaingia bungeni leo? Wenzetu waliostaarabika kwa kosa hili la rushwa na picha za kutinga mahakamani chini ya ulinzi angejiuzulu fasta. Lakini kwa kuwa ccm rushwa ni utamaduni anadunda tu. Mlioko kwenye runinga tujuzeni kama kaingia bungeni tuendelee kushangaa
   
 9. MANI

  MANI Platinum Member

  #9
  Jun 12, 2012
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,409
  Likes Received: 1,862
  Trophy Points: 280
  Mkuu Ulukolokwitanga unajua njia ya mnafiki siku zote ni fupi na huu ni uthibitisho kuwa hawako serious kwenye hii issue ya rushwa wamedandia gari tu hawajui linaenda wapi !
   
 10. D

  Dabudee Senior Member

  #10
  Jun 12, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 156
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Nadhani watampa siku tisini apime huku watu wakisahau
   
Loading...