Status ya Blandina Nyoni ni ipi?

JamiiForums

JF Official Account
Nov 9, 2006
6,202
5,012
Posted by HANS ROGER DIBAGULA | May 14, 2012

Nauliza je kuna mwenye kujua status ya Imelda Marcos wa Tanzania aka Blandina Nyoni serikalini ni ipi?
 
Last edited by a moderator:
Jamani Jana (Monday) kwenye Live service ya Emmanuel TV nimemuona Mama Blandina Nyoni? kwa TB Joshua.Anataka kuokoka.Big up mama Nyoni for that ,natumaini utarudi mtu mpya na mambo mapya.
 
Jamani Jana (Monday) kwenye Live service ya Emmanuel TV nimemuona Mama Blandina Nyoni? kwa TB Joshua.Anataka kuokoka.Big up mama Nyoni for that ,natumaini utarudi mtu mpya na mambo mapya.

It looks like when everything goes wrong, TB Joshua is the man with the answers. Sijui ni jinsi gani that worked with Chiluba
 
Back
Top Bottom