CCM msirudie haya tena, hayapendezi na hayavumiliki! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM msirudie haya tena, hayapendezi na hayavumiliki!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by GeniusBrain, Jun 11, 2012.

 1. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #1
  Jun 11, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Siku ya jumamosi tarehe 09.06.2012 CCM (M) Dar es salaam ulifanya mkutano wake wa kihistoria ulio hudhuriwa na maelfu lukuki ya watu. Ila katika siku hiyo sikupendezewa na mambo yafuatayo ambayo naweza kusema siku nyingine wasirudie kufanya mkutano kama huo tena.
  • Kuweka coverage yakutosha kwa vituo viwili vikubwa vya ITV na TBC kuonyesha LIVE bila chenga, ambapo kila mtu aliona
  • Ofisi ya CDM makao makuu siku hiyo ilifungwa kuanzia asubuhi tofauti na kawaida yao ambapo hufunguliwa nakufanya kazi. Wadadisi wa mambo walipo fuatilizia, mlinzi aliyekuwepo alidokeza kwa kusema ‘ hujui wenye Dar es salaam leo wanafanya mkutano wao’.
  • Mpangilio mzuri wa mkutano, yaani : uhamasishaji, uhudhuriaji wa umati wa watu tofauti na mkutano uliopita wa cdm wa kijiumati, mpangilio mzuri wa mkutano , kujibu kwa ufasaha wale wazungumzaji wote kwenye mambo ya msingi na kumaliza mkutano kwa amani na utulivu.
  • Ni ukweli usiopingika CC Mina jeshi kubwa na lenye vipaji , kwani mkutanoni waliletwa wanajeshi wachache tu i.e Wassira, Mwakyembe, Maghembe, Tibaijuka na Magufuli. Lakini cheche zake zilisambaa Tanzania nzima. Hii inadhihirisha kuwa wakitawanya jeshi lote, hata sisimizi hawezi kupona.
  • Kupendeza kwa uwanja, kwani siku hiyo Dar es salaam nzima ilikuwa kijani na njano. Na hapa ni kuwa uwezo wa vyama vingine kuwahudumia wanachama wao kwa kuwapa promotion material km T-shirt ni mdogo sana na hawawezi, ila wao wameweza. Kwani tumeshuhudia mashirika ya serikali na watu binafsi wakiwatengenezea wateja wao T- shirt kama njia yakujitangaza , CCM wamefanya hivyo , HUSDA ya CDM imejionyesha.
  • Mitandao yote ikiwamo JF ilikuwa ni CCM tu inazungumziwa. Japokuwa baadhi ya thread za CCM ziliondolewa kwa sababu zisizo za msingi na MODS. Hii inaleta mushkiri kwenye mustakabali wa JF, kwa za CDM kitu km hicho ni nadra sana kutokea. Tujirekebishe , heshima yetu mbele ya jamii inazidi kuyeyuka km theluji ya mlima Kilimanjaro kwa mambo kama haya.
  Kwa hayo machache nahitimisha kwa kusema , siku nyingine CCM msifanye hayo, wenzenu wali beep , nyie mmepiga kabisa, CCM hamtaniwi? Wenzenu walikuwa wanafanya utani tu.
   
 2. K

  Kimbito nyama Senior Member

  #2
  Jun 11, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 157
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naomab kuongeza: Pia kuwabeba watu kwenye mabasi ni jambo zuri lakini ni ni vizuri kuwasubiria hadi mkutano ukaisha kwani nilipta taarifa kwamba kuna mabasi yalisomba watu asubuhi kuwapleka CHADEMA SQUARE, baada ya mkutanao wakawa hawayaoni. Wakati mwingine lazima kuwe na Mwenyekiti wa Usafiri.
   
 3. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #3
  Jun 11, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,618
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  • Kutupatia Sh elfu tano tano wakati mwanzoni mlisema elfu kumi pamoja na wali nyama.
  • Kutorosha nyara za taifa na kuzileta jangwani.
   
 4. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #4
  Jun 11, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Jingine alilosahau mtoa mada kuhusu huo mkutano ni kwa wasemaji wao kukacha kuzungumzia kero moja kubwa inayowamaliza CCm mpaka kufikia hali dhaifu waliyonayo:ufisadi uliokithiri katika safu zao na ahadi ya kuitokomeza kiukweli, na siyo kiujanja ujanja.

  Siku nyingine wamwite Hosea katika mkutano wao.
   
 5. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #5
  Jun 11, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Wangefikaje mkutanoni bila usafiri ? ulitaka waje na ungo au ?. Hapa tukionacho ni HUSDA na uwezo wa vyama vingine ikiwamo CDM kuwahudumia wanachama wake, na kuna sehemu zingine matawi na mashina wali arrange usafiri wao na kutoa pesa zao, je kufanya hivyo ni vibaya?. Acheni HUSDA ndugu zangu , jitahidini na nyie mtafikia uwezo kama walio nao CCM
   
 6. Ta Kamugisha

  Ta Kamugisha JF-Expert Member

  #6
  Jun 11, 2012
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 2,814
  Likes Received: 762
  Trophy Points: 280
  Te te te te te te! kweli mazuzu ni wengi, nilidhani umeandika jambo la maana kumbe *****!
   
 7. J

  JF2050 JF-Expert Member

  #7
  Jun 11, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 2,087
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Chama cha majizi
   
 8. T

  THUNDERBOLT New Member

  #8
  Jun 11, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana mimba changa hao! Peoopleesssss...!
   
 9. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #9
  Jun 11, 2012
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 9,586
  Likes Received: 2,917
  Trophy Points: 280
  Kweli mkuu kuna kiumbe kimetoweka huko Gombe.
   
 10. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #10
  Jun 11, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
   
 11. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #11
  Jun 11, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Ukiisha ona mtu kujibu hoja kumemshinda jua AMEFILISIKA KIMAWAZO NA KIFIKRA
   
 12. KML

  KML JF-Expert Member

  #12
  Jun 11, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 862
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 33
  Najuta kuifungua hii thread
   
 13. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #13
  Jun 11, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hizi ndizo tunazo sema ni husda za kisiasa, Chama kama kina uwezo si vibaya kuwawezesha wanachama wake. Mbona ww ukienda kikaoni unalipwa posho ? hapa baya ni lipi ? na je sheria ipi imekiukwa?. Sasa utofautiano wa uwezo wa vyama usizuie mwenye nacho kukitumia kwa wanachama wake. Kwa cdm kwa sasa uwezo huo hawana kwani hata miradi ya maana hawana , tofauti na ccm ambayo in a miradi lukuki, wana ruzuku yakutosha na wanachama wao wengi wanajitolea. Sasa nikuulize ww kwa hali km hiyo unategemea cdm washindane kweli na ccm?
   
 14. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #14
  Jun 11, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,618
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Hii nayo ilikuwepo kwenye ilani?
   
 15. Captain Phillip

  Captain Phillip JF-Expert Member

  #15
  Jun 11, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 900
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Hivi siju hizi ulinzi wa Mirembe umelegea nini?Maana naona watu waliopaswa kuwa huko kama huyu mtoa mada wako mjini na wanatumia mitandao ya kijamii kama vile hawajatoroka walikopaswa kuwa!!
   
 16. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #16
  Jun 11, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Karibu JF naona umejiunga leo mzee. Tulia ufunzwe, ila ukija na papara zako utadharaulika kuliko hata mnyama , jibu hoja JF si uwanja wa wasio na upeo wa mambo
   
 17. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #17
  Jun 11, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Haya ndiyo walikuwa wanatakiwa kuyazungumzia siyo story.....hali ni mbaya down to business siyo kuwapa watu 5000
   
 18. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #18
  Jun 11, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,618
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160

  Too sad. Jaman halafu mijitu bila hata chembe ya aibu inasifia kutoa rushwa kwa watu ili wajaze mikutano.
  Hivi nyie mnamdanganya nani? Hakina dhambi yenu ni kubwa sana.
   
 19. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #19
  Jun 11, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
   
 20. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #20
  Jun 11, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Nikuulize, hapo ndio umejibu nini sasa ? huu ni msiba kwa JF kuwa na watu kama wewe
   
Loading...