CCM yazidi kubomka Ngara; jembe jingine lahamia CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM yazidi kubomka Ngara; jembe jingine lahamia CHADEMA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by QUALITY, Jun 12, 2012.

 1. QUALITY

  QUALITY JF-Expert Member

  #1
  Jun 12, 2012
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 854
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  CCM yazidi kubomoka Ngara; jembe jingine lahamia CHADEMA
  Katika hali inayoonesha kuendelea kufa taratibu kwa chama cha mapinduzi, Jumapili wiki iliyopita (10/6/2012) kulifanyika mikutano mikubwa miwili katika kata za Rulenge na Benako zote za wilayani Ngara, mkoa wa kagera. Mkutano wa Rulenge ulikuwa maalum kumpokea shujaa Philemon Charles maarufu kwa jina la Muha aliyekuwa mwenyekiti wa CCM kata ya Rulenge. Kwa wale wasiojua, hapo Rulenge ndiko nyumbani kwa mwenyekiti wa wilaya hiyo mwalimu Helena Adrian.

  Akihutubia mamia ya wananchi, Muha aliwaambia wananchi kuwa amejitoa CCM kwa sababu ameona CCM imeishakufa bali baadhi ya viongozi wanadhani bado iko hai. Alisema anasubili kikao cha wananchi wote wa kijiji cha Rulenge ili awahoji viongozi wa kijiji hicho matumizi ya shilingi milioni 11 walizodai kutumia kukarabati chumba kimoja cha machinjio fedha ambayo ni nyingi kwa ukarabati wa chumba kimoja na kazi iliyofanyika haifahamiki.

  Katika mkutano huo wa Rulenge, wana CCM waliorudisha kadi walikuwa 50 zaidi ya wanachama wapya waliojiunga na Chadema walikuwa 57.
  CHADEMA Vema
   

  Attached Files:

 2. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #2
  Jun 12, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,809
  Likes Received: 3,893
  Trophy Points: 280
  kubomka?? hicho ni kilatino au kihispaniola??
   
 3. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #3
  Jun 12, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Hii hasira iendelee kwa kasi hii hii!

  Mungu Ibariki CHADEMA
  Mungu Ibariki Tanganyika
  Mungu Ibariki Tanzania
   
 4. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #4
  Jun 12, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mkuu huu ndiyo mpango mzima life cycle ya ccm ilishafika kwenye decline .they ve 2 options
  1. Phase out
  2. Natural death
   
 5. Technician

  Technician JF-Expert Member

  #5
  Jun 12, 2012
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hizi ndio habari zinazotupatia afya humu kwenye JF!!
  Aksante sana mleta nyuzi.
   
 6. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #6
  Jun 12, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  naaam,barbara chadema!
   
 7. QUALITY

  QUALITY JF-Expert Member

  #7
  Jun 12, 2012
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 854
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Typing error = Kubomoka

  invisible can help to edit that
   
 8. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #8
  Jun 12, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  VUA GAMBA, VAA GWANDa
   
 9. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #9
  Jun 12, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Nadhani hoja ya Mkama na Nepi inazidi kwisha....! sasa ni zaidi za mashariki magharibi kusin na kaskazini
   
 10. N

  NICE LAMECK JF-Expert Member

  #10
  Jun 12, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 213
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Muendelezo mzuri wa kuvuna, magamba mwaka huu watakoma sisi tunapasua anga M4C.
   
 11. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #11
  Jun 12, 2012
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,924
  Likes Received: 634
  Trophy Points: 280
  Nimesikia pia kwenye Taarifa ya habari clouds Fm Asubuhi kuwa mwenyekiti wa CCM Shinyanga amejiuzulu Ikitoa sababu ya kutodhirika na Jinsi makundi yanavyoibuko Ndani ya CCM.

  Can someone correct me?
   
 12. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #12
  Jun 12, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,202
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Sasa hivi wanazi wa CCM wanatafuta tittle za Thread zao kama
  1. Slaa na Mbowe waonyeshana chuki kwenye msiba wa Bob Makani
  2. CDM ya pata Pigo baada Kikwete kuongea kwenye msiba wa Bob makani
  3. CDM ni Wanahubiri Ukanda ndio maana walimtelekeza Bob Makani
  4. Wazee wa Mtwara na Lindi Waapa hawataki kuiona tena CDM
  5. Mbowe Asema lazima kieleweke
   
 13. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #13
  Jun 12, 2012
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,499
  Likes Received: 1,080
  Trophy Points: 280


  Then Nape anaongea ujinga huku kuhusu Chadema.


  Songa Chama kubwa songa!
   
 14. siemens c25

  siemens c25 Senior Member

  #14
  Jun 12, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 198
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Safisana bado wengi tu watakuja chadema ila wanaona aibu tu peopleeeeeeez
   
 15. QUALITY

  QUALITY JF-Expert Member

  #15
  Jun 12, 2012
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 854
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hata CCM Itakapokuwa imekufa, na kuzikwa, kuna watakaoendelea kusema mimi ni CCM!
   
 16. K

  Kimbito nyama Senior Member

  #16
  Jun 12, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 157
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  "Hata wakiondoka wote, nitabaki mwewnyewe na Chama hakitakufa" (Nape, 2012)
   
 17. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #17
  Jun 12, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  habari ya kusisimua
   
 18. Mikael P Aweda

  Mikael P Aweda JF Gold Member

  #18
  Jun 12, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 2,934
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Aluta continua.
   
 19. B

  Bhavick JF-Expert Member

  #19
  Jun 12, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 314
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tunatwanga kotekote,mpaka kieleweke!
   
 20. QUALITY

  QUALITY JF-Expert Member

  #20
  Jun 12, 2012
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 854
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Naona taarifa hii, hawajaipata wengi. hakuna anayeandika kuihusu.
   
Loading...