JERUSALEM 2006
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 527
- 596
Profesa Mwesiga Baregu(CDM) ni mwenyeji wa Muleba. Mimi kama mfuatiliaji mzuri wa siasa za muleba, ninamshauri agombee jimbo la Muleba Kusini la Prof Tibaijuka(CCM) mwaka 2015, kwani wana muleb wamemchoka huyu mama.