Ktk Kumuaga Bob: CHADEMA hawakuzingatia Utaifa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ktk Kumuaga Bob: CHADEMA hawakuzingatia Utaifa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ngoromiko, Jun 11, 2012.

 1. Ngoromiko

  Ngoromiko JF-Expert Member

  #1
  Jun 11, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 559
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  RIP Bob Makani 2.JPG

  Kwa majonzi makubwa tumemwaga kitaifa mpendwa wetu Bob Makani (rip). Ameagwa kitaifa kwa sababu amelitumikia taifa letu kwa uzalendo wa hali ya juu.

  Nimesikitishwa sana kwa kitendo cha CHADEMA kutanguliza mbele maslahi ya kichama badala ya maslahi mapana ya kitaifa pale walipopamba jeneza la mpendwa wetu na bendera ya chama badala ya Bendera ya Taifa.

  Kwa kitendo hicho, wamejenga taswira kuwa Bob ameagwa kichama zaidi na si kitaifa. Mmetuangusha Watz.
   
 2. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #2
  Jun 11, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Wkt anaugua ulimpelekea hata juisi au ulisubiri afe uuze sura
   
 3. Kiwewe

  Kiwewe Senior Member

  #3
  Jun 11, 2012
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 159
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Yani wewe hujaridhika kwa heshima hii, mbona CDM ina heshima ya kitaifa?. Kama msiba ungekuwa ni wa kiserikali, watu wa protokali wangefanikisha hilo. Nafikiri umejiamulia kulalamika na kupotosha watu wasioelewa.
   
 4. Ngoromiko

  Ngoromiko JF-Expert Member

  #4
  Jun 11, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 559
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  Kwa wadhifa wake hata ningepeleka juice isingemfikia. Hakuwa mtu wa kusaidiwa juice au visenti vyangu.
   
 5. F

  FJM JF-Expert Member

  #5
  Jun 11, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Kuna mdau mwingine analalamika kuwa CHADEMA walimtelekeza Bob Makani, sasa hapa anakuja mtu anasema CHADEMA hawajazingatia utaifa! Damn if you do, damn if you dont!
   
 6. Mwiyuzi

  Mwiyuzi JF-Expert Member

  #6
  Jun 11, 2012
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 861
  Likes Received: 304
  Trophy Points: 80
  kwenye red...sema kwa nafsi yako na si kutusemea wengine. Pia Chadema ndo WATANZANIA WENYEWE...peopleeeees........powerrrrrr
   
 7. k

  kitenuly JF-Expert Member

  #7
  Jun 11, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 336
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Una ukosefu wa kinga akilini (ukia)
   
 8. 255Texter

  255Texter Senior Member

  #8
  Jun 11, 2012
  Joined: Aug 31, 2007
  Messages: 150
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Duh, hizi sigara mnazovuta wenzetu mbona hamtuambii zinaitwaje. Maana naona zinabangua ubongo kisawasawa.
   
 9. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #9
  Jun 11, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,785
  Likes Received: 2,395
  Trophy Points: 280
  msiba wa gavana wa BOT Balali mlizingatia utaifa?maana hata mwili wake mpaka leo hamjaurudisha nyumbani
   
 10. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #10
  Jun 11, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  una elimu gani ngugu mtoa mada?
   
 11. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #11
  Jun 11, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Soma sentensi yako ya kwa nza hadi kwenye nukta utagundua kuwa unajicontradict na kuchemsha vbaya mno!
   
 12. Ngoromiko

  Ngoromiko JF-Expert Member

  #12
  Jun 11, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 559
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  Mambo ya damn damn ni nje ya mada.
  Wewe unaona ni sahihi kushusha heshma ya Bob iwe ya kichama badala ya kitaifa?
  Viongozi wengi wa kitaifa walifika kumuaga, CDM wanang'ang'ana na kila kitu mpaka wanalazimisha bendera la chama ndo litumike badala ya ile ya taifa.......*^&*... Hivi akina Prof Baregu na yule Dr wa kuteua wabunge wa viti maalum walikuwa wapi?
   
 13. B

  Bob G JF Bronze Member

  #13
  Jun 11, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Utaifa upi unautaka Serikali yote ilikuwepo pale, na CHADEMA ni chama cha Kitaifa, na Bendera ile ni alama Rasmi ya Dola tarajiwa 2015, na Makani alikuwa mwenyekiti wa CHADEMA na Mwasisi wake na katibu mkuu wa Kwanza wa CDM. Hakuwai kuwa Polisi au Mwanajeshi ili afunikwe Bendera ya Tanganyika. ACHA MALALAMIKO YASIYO NA TIJA. R.I.P Bob Makani.
   
 14. Ngoromiko

  Ngoromiko JF-Expert Member

  #14
  Jun 11, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 559
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  Hiyo ni typing error. Hata hivyo haikuzuii kuelewa mada na kushauri chama chako wajirekebishe.
   
 15. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #15
  Jun 11, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,188
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  Ngoromiko, umechanganyikiwa...shuhudia mazishi ya Balozi Edward Athumani Mhina aliyefariki mwaka 2008. Nyadhifa alizowahi kushika;

  1. Balozi wetu nchini Sweden kwa kipindi cha miaka 10.
  2. Mkurugenzi wa Tume ya Elimu.
  3. Mwenyekiti kwenye Bodi ya SIDO
   
 16. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #16
  Jun 11, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Watanzania kwa kulalamika; kitu kidogo mnakifanya Ulimwengu usimame usifanye kazi angalia picha hapo chini

  Inatosha kuonyesha utaifa kuliko bendera...

  [TABLE]
  [TR]
  [TD][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="align: left"]Rais Dkt.Jakaya Kikwete, Makamu wa Rais Dkt.Mohamed Gharib Bilal na
  Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe wakibeba jeneza la marehemu Bob
  Makani
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 17. Ngoromiko

  Ngoromiko JF-Expert Member

  #17
  Jun 11, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 559
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  Pamoja na kuwa kiongozi wa kichama, alikuwa kiongozi wa kitaifa.
  Kwa uelewa wako, yafaa kuzingatia maslahi gani; ya kichama au ya Kitaifa?......mwenye busara na akili safi atasema: 'TUZINGATIE MASLAHI MAPANA YA KITAIFA'....period!
   
 18. Ngoromiko

  Ngoromiko JF-Expert Member

  #18
  Jun 11, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 559
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  Utaifa ungekamilika kama hilo jeneza lingekuwa limepambwa na Bendera ya Taifa.
   
 19. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #19
  Jun 11, 2012
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,621
  Likes Received: 4,725
  Trophy Points: 280
  Kumbe ni kweli mtu ukiwa mwanachama,mpenzi na mshabiki wa CCM uwezo wa kufikiri unaondoka na kuwa taahira. Kwa nini mnalalamikia mambo yasiyokuwa na mashiko kama machangudoa vile? Yaani mnakera na kutia kinyaa hapa jamvini.
   
 20. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #20
  Jun 11, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  jibu swali zuri sana kamanda..
   
Loading...