Abeid Amani Karume: Ni Shujaa wa Wazanzibari? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Abeid Amani Karume: Ni Shujaa wa Wazanzibari?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee Mwanakijiji, Jun 12, 2012.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Jun 12, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Je Wazanzibari wanakubaliana kuwa mzee Karume alikuwa ni shujaa wao? Anakumbukwa kwa yepi mazuri ambayo wananchi wa Zanzibar wanaweza kuona fahari kuwa aliwahi kuwa Rais wao? Yawezekana bado wapo watu ambao wanamuona kama alikuwa dikteta, muuaji na mtu ambaye ameviharibu visiwa hivyo?
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Jun 12, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Huyu si ndio alioingia kwenye muungano na wabara? Sasa wa-znz watamuona kama ndio shujaa?? Ngona nisubiri tanzania daima niisome story yako kwa undani.
   
 3. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #3
  Jun 12, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Kusema Karume ana mazuri ni kama kusema Nyerere ana mazuri.
   
 4. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #4
  Jun 12, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,333
  Likes Received: 1,795
  Trophy Points: 280
  Kuna mambo mengi mabaya na mazuri kutoka kwake. Inaaminika alikuwa na ukatili uliopitiliza, kitu ambacho hakikuwa kizuri. Ila huruma na kupenda kusaidia watu aliowaona sio threat kilikuwa kitu chema kwake.
  Na ni mtu ambaye aliweza kuona mbali...alijua lazima na yeye angepinduliwa hivyo kuungana na Tanganyika lilikuwa jambo lisilokwepeka.
   
 5. TaiJike

  TaiJike JF-Expert Member

  #5
  Jun 12, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 1,475
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Nadhani alikuwa ni dikteta vinginevyo asingeuwa, na wazanzibar wengi kwa jinsi wanavyolalamika sasa hivi ni kuwa wako ktk muungano ambao aliwaingiza bila ridhaa yao.
   
 6. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #6
  Jun 12, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Ni shujaa kwa kusimamia mapinduzi za znz, kusimamia aman na utulivu tofauti na watawala waliofuata
   
Loading...