Picha: M4C yazoa wanaCCM maarufu kwa Pinda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Picha: M4C yazoa wanaCCM maarufu kwa Pinda

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Godlisten Masawe, Jun 11, 2012.

 1. Godlisten Masawe

  Godlisten Masawe Verified User

  #1
  Jun 11, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 739
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Heshima kwenu wana JF.

  Jana J'pili 10/06/12 Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA jimbo la Ukonga kilifanya mkutano mkubwa wa hadhara ktk tawi la Pugu Kigogo Fresh ktk kata ya Pugu, mashambulizi yaliongozwa na kamanda (m/kiti wa jimbo la Ukonga) Michael Aweda na viongozi wa kata ya Pugu na matawi yake.

  Ktk mkutano huo wana CCM zaidi ya 50 warudisha kadi za CCM, akiwemo kada maarufu wa CCM Mzee Bugingo awali alikuwa m/kiti wa wazee wa CCM kata ya Pugu na muamasishaji, mzee Bugingo baada ya kurudisha kadi ya CCM kwa kamanda Aweda alidhungumza hivi "chama cha mapinduzi kimeshaoza na kuzeeka kilichobaki ni kukizika tu 2015, kwa sasa CHADEMA ndicho chama cha wanyonge na kinachoguswa na matatzo ya wananchi" aliendelea "ni lazima rasilimali za nchi ziwanufaishe watanzania wote sio kikundi cha watu wachache kama ilivyo sasa mafisadi wameodhi kila kitu cha nchi hii" amewataka wakazi wa kata ya pugu kuiunga mkono M4C.

  M/kiti wa jimbo la ukonga Michael Aweda aliwaongoza wananchi kwa dk1 kumuombea marehemu Bob Makani.

  Vile vile katibu wa tawi la pugu bombani kata ya pugu kamanda Godlisten Masawe aliwataka wakazi wa kata ya Pugu na vitongoji vyake wawakatae CCM kwa vitendo, alioji utendaji kazi wa diwani wa kata ya pugu (CCM) na mbunge wa jimbo la ukonga (CCM) kwamba tokea wachaguliwe hawajawahi kufanya hata mkutano wa kudhungumza na wananchi, aliwasihi wananchi wasirudie makosa.

  N.B
  Mizengo Pinda ana nyumba Pugu ambao wanaishi wazazi wake.

  [​IMG]
  wananchi wakisikiliza viongozi kwa umakini
  [​IMG]
  wakazi wa kata ya pugu wakimsikiliza M/kiti wa jimbo Aweda
  [​IMG]
  wananchi wa Pugu wakidhihaki kadi za CCM
  [​IMG]
  wananchi wameshikilia kadi za magamba
  [​IMG]
  Makamanda wanataka mabadiliko
  [​IMG]
  sehemu ya umati


  9.JPG
  people's power
  11.JPG
  kamanda Aweda aliyeva kombati akimvua gamba kada maarufu wa CCM na m/kiti wa wazee CCM kata ya Pugu mzee Bugingo
  12.JPG
  kamanda Aweda akiwa kashikilia makadi ya magamba
  13.JPG
  M4C
  14.JPG
  kamanda Ally G kushoto akiwa ndani ya M4C
  [​IMG]
  kamanda Lestusta aliuza kadi za CHADEMA zaidi 100
  16.JPG
  Kamanda Aweda akiteta jambo na m/kiti tawi la kigogo fresh kamanda Festo Hume
  17.JPG
  wananchi walichangia M4C

   

  Attached Files:

  • 1.JPG
   1.JPG
   File size:
   1.5 MB
   Views:
   1,741
  • 2.JPG
   2.JPG
   File size:
   1.8 MB
   Views:
   1,712
  • 3.JPG
   3.JPG
   File size:
   1.6 MB
   Views:
   1,674
  • 5.JPG
   5.JPG
   File size:
   1.7 MB
   Views:
   1,622
  • 6.JPG
   6.JPG
   File size:
   1.7 MB
   Views:
   1,579
  • 7.JPG
   7.JPG
   File size:
   1.5 MB
   Views:
   1,507
  • 15.JPG
   15.JPG
   File size:
   1.4 MB
   Views:
   1,397
 2. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #2
  Jun 11, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,914
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 160
  Tanzania lazma ikombolewe.
   
 3. Communist

  Communist JF-Expert Member

  #3
  Jun 11, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 5,391
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Mbona huku ubungo Msewe kuna vijana zaidi ya mia wanataka kadi za CDM. Wana hasira sana na magambaz. Serikali ya mtaa imekula milioni 60 za mradi wa maji Msewe Golani, na Mradi umekufa. Kuna mfadhili ameanzisha mashindano ya mpira, wamekula hela za zawadi. Ila huyu diwani Boni yuko slow sana.
   
 4. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #4
  Jun 11, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  Inamaana Pinda alizaliwa Pugu au aliwahamisha wazazi wake kutoka ushenzini.
   
 5. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #5
  Jun 11, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,629
  Likes Received: 9,847
  Trophy Points: 280
  magamba wakiona hivi wanatamani kukumbia nchi..m4c forever
   
 6. Godlisten Masawe

  Godlisten Masawe Verified User

  #6
  Jun 11, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 739
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sangarara pinda alisoma pugu sec school A-level, baada ya kuwa waziri mkuu akajenga nyumba huku pugu ambayo wanaishi wazazi wake. Tumemuwekea bendera za M4C mpaka getini kwake mkuu.angarara
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #7
  Jun 11, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,748
  Likes Received: 12,842
  Trophy Points: 280
  Hapatoshi 2015 lazima wakae.
   
 8. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #8
  Jun 11, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  The freedom is arround the corner!
   
 9. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #9
  Jun 11, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  Mimi sina tatizo na nyumba yake, tatizo langu ni kwa nini kaleta hapo wazazi wake? wamebomokewa nyumba? hawakuwa na makazi? au sasa ndio makazi yao ya mwanzo ambako walimzalia na kumkuza mtoto pinda hayawafai tena?
   
 10. t

  thatha JF-Expert Member

  #10
  Jun 11, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 11. t

  thatha JF-Expert Member

  #11
  Jun 11, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 12. t

  thatha JF-Expert Member

  #12
  Jun 11, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 13. BIG Banned

  BIG Banned JF-Expert Member

  #13
  Jun 11, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 263
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Heko CDM
   
 14. Godlisten Masawe

  Godlisten Masawe Verified User

  #14
  Jun 11, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 739
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hawa wa kusombwa na magari, alafu mbona ni kina mama tu?
   
 15. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #15
  Jun 11, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Tehe tehe tehe Comrade the conner is sorrounded by Freedom siku umeshafika ambapo tutaimba zile nyimbo za mashujaa wa zamani akina kinjekitile mkwawa na wengine baada ya kumng'oa mkoloni CCM
   
 16. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #16
  Jun 11, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,980
  Likes Received: 6,632
  Trophy Points: 280
  kweli wewe gamba. hii photoshop yako hata michuzi amesha ifuta kwenye blog yake wewe bado unahangaika nayo. pole sana. Mia
   
 17. t

  thatha JF-Expert Member

  #17
  Jun 11, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 18. M

  Mashimba1 JF-Expert Member

  #18
  Jun 11, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 811
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  M4C hiyo, hakuna kugushi kadi kama wale wa kijani wafanyavyo. Tehe..tehe..tehe. Ukiwa ndani ya CDM raaaaaaaahaaaa.
   
 19. K

  Kipimbwe JF-Expert Member

  #19
  Jun 11, 2012
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Tisheti ndo zile zile za low uality wanabadili ujumbe tu ilikuwa nguvu na kasi vimegoma sasa wanapindua maubunifu ya watu
   
 20. Nzowa Godat

  Nzowa Godat JF-Expert Member

  #20
  Jun 11, 2012
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 2,630
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Trust in Jesus that ye be saved. Coz politics is a sinful game, are we together?
   
Loading...