Pendekezo la katiba mpya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pendekezo la katiba mpya

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by Apolinary, May 29, 2012.

 1. Apolinary

  Apolinary JF-Expert Member

  #1
  May 29, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 4,698
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Napendekeza uchaguzi wa bunge uwe tofauti na wa rais hii itakuwa vizuri ili kuepusha mkanganyiko wakati wa kuhesabu kura.
   
 2. M

  MWANAIDEA Member

  #2
  Jun 16, 2012
  Joined: Jun 16, 2012
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  NAPENDEKEZA YAFUATAYO KATIKA KATIBA MPYA

  MIKATABA YOTE INAYOHUSU NCHI IPITIWE NA TUME/JOPO LA WATAALAMU ALAFU IPELEKWE BUNGENI KABLA YA KUSAINIWA NA RAISI.

  UWEPO WA MABUNGE MAWILI

  (I) BUNGE LA UWAKILISHI
  Hili ni bunge ambalo litatokana na kuchaguliwa kutoka kila wilaya ,na mbunge atakua mwenyekiti wa hamashauri husikahivyo basi kila wilaya itakuana mbunge mmoja .hii itasaidia kupunguza idadi kubwa ya wabunge , kuondoa mgongano wa madaraka kati ya mbunge na mkiti wa halmashauri, pia kuwa kiungo kati ya serikali kuu na serikali ya mitaa.yaani halmashuri.kwa mfano kwa sasa tungekua na wabunge133.Nafasi ya mkuu wa wilaya isiwepo majukumu yake yachukuliwe na mkurugenzi wa wilaya.
  (11)BUNGE LA WANANCHI
  Hili ni bunge litakalotokana na kila mwananchi kuwa na nafasi ya kushiriki ,kuchangia ,kupanga , na kuamua masuala ya kitaifa litakua na m/kiti na katibu wake hili ndilo litakua msingi wa maamuzina ushauri kwenye bunge la uwakilishi ,kila mtanzania atapata fursa ya kushiriki na kusema chochote atakachoona kinafaa ili kuimarisha taifa.linaweza likawa linafanyika kwamwaka mara tatu kwa mwaka kujadili mustakabali wa taifa,

  BARAZA LA MAWAZIRI

  baraza la mawaziri liwe ni chombo cha kiutendaji ,hivyo basi liundwe na wataalamu waliobobea ambao watakua ni watumishi wa wa umma nawatawajibika kwa bunge kwa utendaji wao.na watakua wanapewa malengo endapo watashindwa kufanikisha malengo hayo watatolewa kwenye nafasi zao ili kuondoa siasa zisizotekelezeka,

  USIMAMIZI WA FEDHA

  Usimamizi wa fedha uwe chini ya CAG na HAZINA, hazina watatakiwa kupeleka fedha zote kwakuingiza kwenye akaunti zinazohusikakama ni miradi,vijiji, shule,halmashauri au taasisi kupitia akaunti zao mkurugenzi wa wilaya atakua ni msimamizi tu hii ni kuondoa ubadhirifu wa fedha za umma.la msingi ni kuimarisha taasisi hizi.

  UWEPO WA TUME HURU YA UCHAGUZI

  Tume ya uchaguzi huru isiyofungamana na upande wowote,pia iwe na mamlaka ya kushitaki au kushitakiwa na mtu yeyote kikundi au taasisi yeyote,chama.

  IAINISHE VIPAUMBELE VYA TAIFA

  Katiba mpya inatakiwa kuainisha vipaumbele vya taifa,ili kila kiongozi au utawala utakaochukua madaraka ujikite kutekeleza vipaumbele hivyo.kwa upande wangu napendekeza teknolojia ndio kiwe kipaumbele namba moja.
   
 3. M

  MWANAIDEA Member

  #3

Loading...