Lema, Heche na Mabere Marando kufanya mkutano mkubwa wa hadhara (M4C) Jimbo la Segerea [Jumapili]

Dec 25, 2011
86
11
CCM haikubaliki tushirikiane kuitokomeza.

Wanachama na wapenzi wa CHADEMA na wananchi wote wa jimbo la segerea na dar es salaam kwa ujumla, baada ya kuitikisa kusini na viunga vyake sasa m4c imeingia katika jimbo la segerea tunaombwa tufike kwenye viwanja vya tabata shule (segerea) siku ya jumapili tar 17/06/2012 kuanzia saa sita mchana kutakuwa na mkutano mkubwa wa hadhara (M4C) ukiongozwa na kamanda godbless lema, john heche na muasisi wa mageuzi nchini kamanda mabere marando wote kwa pamoja watauwasha moto wa M4C wakiwa na makamnda wengine wengi kutoka makao makuu ya chama. Makamanda katika mwendelezo wa M4C watafungua ofisi za kata na kuzindua matawi mbali mbali katika jimbo la segerea na kumalizia na mkutano mkubwa wa hadhara katika viwanja vya tabata shule. Jiunge na vugu vugu la mabadiliko katika kuandika historia mpya ya Tz.

Ukipata habari hii unaombwa umwambie na mwenzako. Hii sio ya kukosa makamanda. CCM Imezeeka tuitoe. - Moshi katibu BAVICHA (J) Segerea
 
Ni heri vita inayotafuta Usawa na haki Duniani, kuliko amani inayopumbaza na kudhalilisha utu wa mwanadamu. Mtanzania usikate tamaa tukutane pale viwanja vya tabata shule tutafakari kwa pamoja mustakabali wa kupigika kwetu
 
Nasikia Kusini, Mwenyekiti na Katibu nusura wazipige kavu-kazu. Kwi kwi kwi teh teh teh. Mmoja anataka watu wake wabakie mmoja anataka waondolewe wawekwe wake.
 
Nasikia baada ya kusikia pilau litakuwepo kwenye zoezi la sensa mmeanza kulegeza Uzi

Mie nilisikia biriani ya ndizi ndiyo itakuwepo. Kaskazini hawataki kushindwa nasikia siku hizi kuna biriani ya ndizi.

Kiswahili sahihi ni Kuregeza sio "kulegeza".
 
Mie nilisikia biriani ya ndizi ndiyo itakuwepo. Kaskazini hawataki kushindwa nasikia siku hizi kuna biriani ya ndizi.

Kiswahili sahihi ni Kuregeza sio "kulegeza".
Mbona sisi sensa tumeipokea kwa mikono miwili nyie mnagomea hata suala la maendeleo mkuu?
 
Hapa ni M4C mpk kieleweke

kudadekiiiiiiiiii!!!!

Wakimaliza hapo ni moja kwa mpaka W/Arusha vijijini yani Arumeru Magharibi zamani, Kata ya Kisongo,Tarafa ya Mkulat na Kata zote ndani ya Wilaya!

Mabadiliko yanawezekana hakikaaaaaaa!
 
cdm bado wanajifunza kutawala nchi. Muda ukifika tutawapa kutawala kwa ss bado sana

Magamba yanaruka na kukanyagana tu haa haah haaa kweli nimeamini “Mtu anaweza kuzini kwa siri lakini hawezi kuugua ukimwi kwa siri” Serikali na Chama cha Mapinduzi kimepuuza watu na haki zao kwa muda mrefu,na sasa kimezeeka na sera zake ndio zimeharibu Tanzania yetu. lakini wakati umefika ambapo wananchi hatutapuuzwa tena hata hivyo kwa kauli yako hii naamnini hujatumia ubongo kufikiri ila umetumia Nyongo n dat's the problem. subiri 2015 uone moto wake

 
Nasikia Kusini, Mwenyekiti na Katibu nusura wazipige kavu-kazu. Kwi kwi kwi teh teh teh. Mmoja anataka watu wake wabakie mmoja anataka waondolewe wawekwe wake.

Magamba at work, teh teh we endelea kuskia si tunasonga mbele CDM ni kama mvua, huwezi kuzuia mvua ikiamua kunyesha inanyesha tu, the fact is Nyinyiem haikubaliki Tushirikiane Kuitokomeza coz imeleta jehanamu Tanzania. nenda kachukue 2000 yako kwa kazi yako usepe
 
Ali zenji;ali shababu;ali kaeda wamegomea sensa eti mpaka ubwabwa uwepo;sisi pipozz tunasonga m4c daima
 
cdm bado wanajifunza kutawala nchi. Muda ukifika tutawapa kutawala kwa ss bado sana

Hata Wakoloni walimwambia Nyerere muda wa Tanganyika kujitawala wenyewe haujafika ukifika tutawapa, walitaka mpaka mwaka 1999 ndio watupe uhuru wetu, lakini watanganyika kwa kushirikiana na Nyerere hawakukubali na mwaka 1961 kikaeleweka. Amka mtanzania acha kujifanya kuwa huna ubongo ila una uji wa ulezi kichwani.
 
Kwa watakao kuwepo naombeni feed back maana mi niko huku kwenye chimbuko la mabadiliko AT
 
Back
Top Bottom